Hello!wadau mpo wazima,kwa upande wangu nipo gud.niende kwenye mada husika,kuna wapenzi wamegombana kisa mwanaume kabadilishiwa style na mpenzi wake ivyo anamshutumu kua kaanza kugongwa na muuni(mjuzi wa mahaba)cz kamuonesha k2 ambacho kidume hajawahi kumfanyia mpenzi wake huyo ktk mahusiano yao ya siku zote.Je kunasababu ya kidume hiki kulalama?
