Mwanzo-32: Kiswahili Biblia - Agano la kale25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Hivi aligusa "uvungu" upi?
Bila mama'ko kuwa na nyege ungekuwepo wewe? Kama nyege ni tatizo jifikirie wewe uliyetokana na nyege. Majanga!
Ila wanasema Jacob alipigana na Malaika
25.Yeye alipoona kwamba hakuwa amemshinda,+ akagusa tundu la fundo la paja lake; nalo tundu la fundo la paja la Yakobo likateguka wakati wa kupigana naye mweleka.
Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Maandiko yanasema mtu akimuona Mungu hawezi kuishi.28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
30 Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
Ndiyo utaelewa kuwa kuna visa vya kuchekesha kwenye biblia, haviwezi kuwa maneno ya Mungu.Maandiko yanasema mtu akimuona Mungu hawezi kuishi.
Kutoka 33:20
20 Lakini akasema: “Huwezi kuuona uso wangu, kwa sababu hakuna mwanadamu anayeweza kuniona na aendelee kuishi.”
English walitafsiri kutoka wapi?Swahili Bible wametafsiri kutoka English Bible, kama maandiko yanakua na mashaka kwa kiswahili ni vema kuangalia English version or Hebrew version kwa Agano la kale.
Genesis 32:25
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.
Ahaaaa. Kwa hiyo ni tafsiri ya tafsiri ya tafsiri ya tafsiri?! Majanga.Tafsiri ya kiswahili inaaminika ila unakuta kuna utata kama misamiati inapoleta maana zaidi ya moja. Agano la kale liliandikwa kwa Lugha ya kiebrania na sehemu kubwa ya Agano jipya imeandikwa Kigiriki.
Naisoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.Nyie huwa hamuachi kusoma Bible na ndo nguvu ya kitabu hicho inapojidhihirisha dhidi ya vitabu vingine!
Usome kwa kutaka kukosoa ama kuelewa lakini umesoma tu na umekiweka akilin mwako!
Huwezi kukuta mkristo anajielewa anahangaika na kitabu cha dini nyingine iwe kutafuta makosa au kujua kilichomo mradi tu hakina maana yeyote kwake! Soma tu ipo siku utaondolewa upofu ulonao na chuki isiyokusaidia lolote maishan mwako!
Sent using Jamii Forums mobile app
We hapo ulipo hebu inama afu shika uvungu wako kisha ulete mrejesho wa nini maana ya uvungu!Naieoma sana biblia. Nakumbana humo na vichekesho, matusi, visa na mikasa na vingi visivyoingia akilini na vichache sana vyenye maana.
Jamaa alishika uvungu upi?
We hapo ulipo hebu inama afu shika uvungu wako kisha ulete mrejesho wa nini maana ya uvungu!
Mie sina tafasiri sahihi ya uvungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe huoni majanga hapo?Ni kama walikua wanamieleka so akmshika nyuma ya paja na kufanya aanguke chini na kuvunjika nyonga sababu alikua anaelekea kumshinda.
Najua ulitaka kusema kamshika sehemu ya haja au makalio..hiyo ndo point yako.na inashangaza kutwa anahangaika kusoma biblia ili tu upate cha kudhihaki kuhusu ukristo..una kazi sana..ukristo ulishindwa kuvunjwa na wanazi uvunjwe na we kigagula.
Ulidhani tutakuja kutukana hapa tuanze malumbano wala..imekula kwako
Utu uzima bila busara ni bure kabisa
MTU asubuhi na mapema hiki ndo unachowaza..dhihaka ugomvi dhidi ya jirani zako..ndio matokeo mnageuka magaidi
Sent using Jamii Forums mobile app