Ugomvi kidogo anataka tuachane

Hili suala la kuuza nyumba lilikuwepo kipindi flani nikamwambia usiuze ila mi nitasepa nikuachie nyumba yako na watoto

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kaisha zoea uhuru wa kuishi peke yake. Miaka tisa mpo mbalimbali! Ukienda na kujitia baba, mara ufuliwe, upikiwe nk nk anakuona kero tu. Uhuru wa kuwa bosi wa makazi yake umeshamlevya.
 
Ni bora nisioe kuliko kuoa halafu mke akawa mbali na mimi.

Ni ngumu kukwepa vishawishi, ni ngumu mno.
 
Mpaka hapo huyo mkeo ni msimbe na mdangaji. Anataka tu kufanya mambo yake kwa uhuru zaidi.
 
tunakaa mbalimbali miaka mingi nikimkosea kidogo anakimbilia kusema tuachane bora aishi mwenyewe awe msimbe na mdangaji.
Dah eti abakie msimbe na mdangaji-itakuwa kakutana na ndefu nene.

Hebu tupe mrejesho mmefikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…