Ugojwa wa Wapendanao

Real Shalom

New Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa Kisukari, utafiti unaonesha waliugua kwasababu ya majina wanayojiita kama; my Honey, my Sweet, my Hot Chocolate nk. Plz mkinge mpenzi wako na Kisukari kwa kumuita my Klorokwn, my Sifongo.
 
Tangu tumeanza kuitana BABY tunakojoa kitandani tena tukiwa macho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…