CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jul 7, 2014 #1 Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake!
Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake!
S supernegro New Member Joined Jun 20, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Jul 8, 2014 #2 Cheza na watu wa IT kaka.. ni mambi ya securit hayo
S supernegro New Member Joined Jun 20, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Jul 8, 2014 #3 Ugatuzi ni kuondoa jukumu flani kutoka katika menegmenti flan, unaweza sema shele zote za sekondari zimegatuliwa toka serikali kuu na sasa ziko chini ya kata
Ugatuzi ni kuondoa jukumu flani kutoka katika menegmenti flan, unaweza sema shele zote za sekondari zimegatuliwa toka serikali kuu na sasa ziko chini ya kata
donbeny JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,270 Jul 9, 2014 #4 CYBERTEQ said: Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake! Click to expand... Its purely decentralization,mgawanyiko wa madaraka
CYBERTEQ said: Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake! Click to expand... Its purely decentralization,mgawanyiko wa madaraka
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jul 9, 2014 Thread starter #5 supernegro said: Cheza na watu wa IT kaka.. ni mambi ya securit hayo Click to expand... siyo udukuzi, ni ugatuzi. nimeshapata majibu wadau hapo juu wamenipa.
supernegro said: Cheza na watu wa IT kaka.. ni mambi ya securit hayo Click to expand... siyo udukuzi, ni ugatuzi. nimeshapata majibu wadau hapo juu wamenipa.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,625 Jul 9, 2014 #6 CYBERTEQ said: siyo udukuzi, ni ugaduti. nimeshapata majibu wadau hapo juu wamenipa. Click to expand... Kiswahili kigumu kuliko kispaniola
CYBERTEQ said: siyo udukuzi, ni ugaduti. nimeshapata majibu wadau hapo juu wamenipa. Click to expand... Kiswahili kigumu kuliko kispaniola
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jul 9, 2014 Thread starter #7 Bulldog said: Kiswahili kigumu kuliko kispaniola Click to expand... umeona ee?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,625 Jul 9, 2014 #8 CYBERTEQ said: umeona ee? Click to expand... Shida kubwa tumekuwa wakubwa na lugha na mbaya zaidi tunamezeshwa na makosa kibao, kwahyo zikija sheria za lugha tunaona mzigo
CYBERTEQ said: umeona ee? Click to expand... Shida kubwa tumekuwa wakubwa na lugha na mbaya zaidi tunamezeshwa na makosa kibao, kwahyo zikija sheria za lugha tunaona mzigo
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 Jul 11, 2014 #9 Bulldog said: Kiswahili kigumu kuliko kispaniola Click to expand... Hapana, ni uvivu wa kujifunza maneno mapya. Hata lugha zingine ziko hivyo, tazama msamiati wa tiba wa Kiingereza.
Bulldog said: Kiswahili kigumu kuliko kispaniola Click to expand... Hapana, ni uvivu wa kujifunza maneno mapya. Hata lugha zingine ziko hivyo, tazama msamiati wa tiba wa Kiingereza.