Mafanikio 07
Member
- Jun 18, 2019
- 57
- 37
Wanajamvi kongole ziende kwenu kwa kufanikisha JamiiForums iendelee kuwepo bila nyie basi maarifa mtaani hayatapatikana.
Naomba niende mazima kwenye mada yangu ujue siku zote Waafrika kuacha mila zao ni ngumu mno sasa kwa muda huu tuna kitu linaitwa dini ambacho kinatufanya tuishi kupitia tamaduni za Dini ambazo tunaziamini na kuzifata lakn kama ilivyo utofauti wa mawazo basi hata kwenye Dini ipo hii kwamba je ni halali KWA dini mfano usilamu kwenda kwa waganga ambao wanatumia majini na hcho kitabu Cha Qur'an na vengine katika Tiba?
Pia inavyosemekana wengi hutumia majini katika tiba, sasa swali langu pia kukuamini Jini katika upande wa kutoa tiba ni haramu? Kwa kuitakidi Jini ni kiumbe Kama wewe na mpo kwa ajili ya kushirikiana tu na sio kumshirikisha mungu au kumfanya Jini ni mkubwa.
Nimejaribu kufatilia kwa baadhi ya watu lakini sijapata jibu sahihi mipaka Sasa kwani bado madhehebu na mitazamo ya watu hutofautiana lakini mtaani bado.
Nililete kwenu hili.