uwa tu bana sasa unakaa na toto bwabwa la nini
Kaka usiwe mkali sana swala la mashoga sio bad vs good, ni swala linalohitaji kufikiria kwa kina mtu kuwa shoga haimaanishi auawe, angalia mifano ya baadhi ya watu walio jinyonga kuhofia kutengwa au kudharauliwa na familia au marafiki kwa sababu ya kitu ambacho kina uhusiano na uhalisia wa "gene" zao, hii ni hatari ni sawa na kumshutumu mtu aliyezaliwa albino,
Jiulize je mashoga wanaathari gani kwa maendeleo yako au taifa? Nadhani jibu ni hapana,, leo hii kuna mashoga wengi ni madaktari wanaokoa maisha ya watu, wapo mashoga ni wanamuziki wazuri na wanaisaidia jamii kwa mahitaji ya wenyeshida!
Kuuona ushoga ni dhambi tambua ni sawa na wewe ulivyo na chuki dhidi yao,, usijifunge kwenye kamba ya mila au dini au mtazamo jaribu kuwa open minded na na utazame upya,,, hata zamani maalbino walikuwa wanauawa ila sasa ni kitu cha kawaida!
Je maisha yanafaida gani kama huyafurahii kwa kuhofia kuuawa na wengine kisa umezaliwa hivyo?
Mimi sio shoga ila siungi mkono mauaji ya mashoga!
Asante!