nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 663
- 735
Laana ya kupenda kuhamisha mipaka na kupanua ardhi yao bado inaiandama nchi ya Uganda.
Tangu October 1, 2023 kumekuwepo na tafurani ya mipaka kati ya Uganda na Sudani ya Kusini na DRC.
Hoja zinataja kuwa bila mawasiliano yoyote Uganda wamehamisha alama za mipaka na kuingia katika mataifa hayo kwa umbali wa kilomita 8.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app