It's an overrated war! A mere dispute hatuwezi kuiita vita but a bit kind of misunderstanding and that's what happened. Uganda na Rwanda were simply allies kumtoa Mobutu. kwa bahati mbaya M7 hakujua mwenzake PK anawaza nini kwa wakati huo. Kagame hawezi shinda vita on clean sheet ila yeye hutumia mbinu ya kuvizia/ambush na ndivyo alivyofanya dhidi ya UPDF. Kwa wakati ule,ilikuwa ngumu kwa Uganda kushinda kwa sababu hakuwa prepared kupigana na mshirika wake but in contrary Rwanda had something else in their Mind. Kwa mtazamo wangu, siyo PK or M7 anatamani vita itokee baina yao kwani utawala wao ndo utakuwa umefika mwisho. wote wana matatizo yao ya ndani ambayo ni more threatening....na ikitokea vita ....ndo ticket ya kung'oka!