Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Watu wa wakati huo walikuwa na ari ya kujiunga na jeshi kwa vile walikuwa na uzalendo wa hali ya juu. Walikuwa tayari kuifia Nchi-mama Tanzania, na si kutetea maslahi yao kama ulivyoiweka.Ndugu
Kama uko na TV yako sasa hivi Fungulia TBC1 wanaonyesha kipindi maalumu kuhusu Vita ya Kagera , uzuri ni kwamba picha nyingi zina rangi kidogo , nashangaa sana wakati huo watu walikuwa na ari sana ya kujiunga na jeshi kwa ajili ya kutetea maslahi yao , picha hizo zinaonyesha watu kwa makundi walikuwa wanapelekwa kwa mabasi kuandikishwa jeshini kwa ajili ya kwenda katika Shuguli hiyo
Wewe Angalia TBC1 ujionee mwenyewe , hata katika magazeti ya Mtanzania wameanza kuchapisha baadhi ya makala ya matukio muhimu kwenye Vita hiyo
Pia unaweza kusoma makala hii The Steps to Interstate War in Africa ina mengi ya kueleza kidogo angalia attachment
Ndugu

Kweli kabisa, inaweza kupunguza haya matatizo ya wizi mkubwa mkubwa na ufisadiHivi wakulu hakuna kitu kama documentary ya hii vita jamani? manake sio siri vizazi vya siku hizi wanatakiwa kujua tumetoka wapi....
..wananchi waliombwa kujiandikisha kwenda mstari wa mbele.
..mkoa wa Mara ulielemewa kwa jinsi wananchi walivyoitikia wito wa kwenda kumngoa nduli Iddi Amini.
..matokeo yake serikali ikaruhusu mkoa wa Mara uandikishe wananchi wengi kuliko lengo walilokuwa wamepewa mwanzo.
..Msumbiji ilikuwa ni nchi pekee iliyotusaidia kwa kuleta askari wake kupigana bega kwa bega na ndugu zao Watanzania ndani ya Uganda.
..kuna vitabu viwili vya Kiswahili na kimoja cha kiingereza vinavyoelezea vita hii.
..nadhani wakati umefika JWTZ watengeneze documentary ya vita hii. makamanda na askari waliopigana vita ile wamezeeka na wengine wameanza kututoka.
..pia napendekeza JWTZ wajenge makumbusho ya vita vya Kagera.
Jasusi,
..sasa utanifanya nikafukue kitabu changu cha "The War in Uganda."
..i believe i read in the book that someone older than 65 showed up to be enlisted.
NB:
..katika watu niliotegemea wana vitabu hivi ni wewe.