magari ya nyumbu yalaaniweeYasiwe kama ya nyumbu tafadhali.
mara ya mwisho umewahi kuyaona yakitumika wapi uraiani?Kwani magari ya Nyumbu yana nini, halafu ule mradi ni endelevu kweli?
magari ya nyumbu yalaaniwee
nchi ya kisanii sana hii,Kenya wanazalisha yao yanaitwa MOBIUS TRUCK yako kama landover ,Bei ni KSH 900,000/=hahahhaaa, imebidi nicheke kwa nguvu!...watu mna hasira aise, mammmae!
Sisi bado kwanza tunafanya maonesho! mpaka Rwanda watatengeneza ndege sisi bado tunaagiza baiskei!
View attachment 171272
mkuu hii gari imetengenezwa Kenya,na ni purposely kwa rough terrain,Usishangae kampuni za kitalii hata za Tanzania wakakimbilia kununua hizi,maana bei ni cheap tofauti na landcruser,na hizi ni mpya kabisa unanunua ni sawa na 0 millage,Ksh 900,000/= ni kama Tsh Mil 18hivi kwa gari mpya na spear ni guaranteed zipo,kwanini wasiuze?Kagari nimekapenda haka ila comments zilivyokaa zimenifanya nishindwe kuelewa hii gari ni imetengenezwa Kenya, Tanzania au Rwanda? Kwa hisani yako tu ndugu, hii ni gari gani na imetengenezwa wapi?
Kaka hawa watu hawako serious,kwanza wahusika sijui hata kama wanakua current na mitandao kujua wenzao wanachokifanya?ni siasa tuu,mara sijui mkukuta,mkurabita mara kilimo kwanza kama wamelaaniwa vile.Sisi bado kwanza tunafanya maonesho! mpaka Rwanda watatengeneza ndege sisi bado tunaagiza baiskei!View attachment 171272
Sisi bado tuko kwenye mchakato wa kutunga sera elekezi katika kuteleleza dira ya maendeleo ya milenia inayohusisha mipango mikakati ya mkukuta,mkurabita, kilimo kwanza na matokeo makubwa sasa.Sisi bado kwanza tunafanya maonesho! mpaka Rwanda watatengeneza ndege sisi bado tunaagiza baiskei!View attachment 171272
Kagari nimekapenda haka ila comments zilivyokaa zimenifanya nishindwe kuelewa hii gari ni imetengenezwa Kenya, Tanzania au Rwanda? Kwa hisani yako tu ndugu, hii ni gari gani na imetengenezwa wapi?
iv nyumbu tulitengeneza au tuliasembo vitu mana kuliunda gari from scratch cdhan na nahisi ata majiran zetu ni ivo ivo tu engine wanaagiza gearbox wanaagiza piston afu wana tengeza bodi,sasa apo umetengeza gari,umeunda au umeuganisha vfaa upate gari??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tanzania kwa zaidi ya miaka 3 sasa watu wanabishana nani atakua raisi 2015,kweli hayo maendeleo yatapatikanaje??Waganda wanaunda mkuu, wanatengeneza from scratch!