Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,249
- 79,585
Kama ni supplier wakubwa kuna tatizo gani waki-compete fair on those markets?Nimekusoma na kukuelewa vizuri, ni kweli kabisa kuwa Wakenya ndio Supplier wakubwa zaidi wa goods kwa Afrika Mashariki yote kwakuwa wana viwanda vingi zaidi.
LAKINI, wana roho mbaya sana...wao hawataki usupply products zako kwao ila wao wanataka wapate soko kwenu.
Na Waziri wa mambo ya nje wa Uganda amethibitisha hilo ni bora kuwaban wasipeleke hayo maziwa yao ya LATO huko Uganda kwakuwa hata wachuuzi wa kiganda wananyanyaswa na mamlaka za Kenya.
Manyang'au ni Manyang'au tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na wao wakubali pia kuletewa bidhaa kutoka nchi jirani na wawape mamlaka hayo pamoja na ulinziKama ni supplier wakubwa kuna tatizo gani waki-compete fair on those markets?
So what?Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.
Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.
Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..
Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.
Hivi kuna watu ambao wana roho nyeusi zaidi yenu hapa A.M? Jiwe lenu liliongeza import duty ya maziwa kwa 1,000%, tena kwa maziwa ya Kenya pekee yake. Umesoma huo uzi hapo ukaona comment zenu na mlivofurahia?Kenya wana roho mbaya sana
Hivi kuna watu ambao wana roho nyeusi zaidi yenu hapa A.M? Jiwe lenu liliongeza import duty ya maziwa kwa 1,000%, tena kwa maziwa ya Kenya pekee yake. Umesoma huo uzi hapo ukaona comment zenu na mlivofurahia?
Wanaimport milk powder then they convert it into Packed milk.Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.MPs want milk imports stopped
Parliamentary committee says Kenya produces enough milk for consumption and exportation.www.nation.co.ke
sasa ndo mnalipizia Uganda? si kazi yako kuamua wapi Uganda wauze maziwa yao fool!Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.MPs want milk imports stopped
Parliamentary committee says Kenya produces enough milk for consumption and exportation.www.nation.co.ke
Sitiupid! Huwezi hata kusoma na kuelewa taarifa kwenye hiyo link ya DN, angalau upate 'gist' tu ya kinachojadiliwa? Hormones zipeleke kwa kina dada wenzako.sasa ndo mnalipizia Uganda? si kazi yako kuamua wapi Uganda wauze maziwa yao fool!
Hongereni kwa kuimport powdered milk kwa wingi. Ila kitu ambacho sidhani mnakijua hadi wa leo ni kwamba mlipokuwa mnafanya uchawi wenu dhidi ya Brookside na U.Kenyatta. Hiyo Oktoba 2018 mlipo ongeza import fee, miezi 18 kabla, Machi 2017 Brookside DAIRIES ya Kenyatta iliuza mali na shares zake zote Tz kwa Brookside HOLDINGS ya Danone, kampuni kutoka Ufaransa. Yaani mlichezewa chess move moja kali mkabaki na roho zenu nyeusi mkipambana na kivuli eti kwasababu vivuli vyote vinafanana.Acha ufala wewe, hiyo kodi applies to all imported milk products, including powdered milk like infant formula etc, fyi Tanzania imports more powdered milk products than your negligible uhuru kenyata maziwa.
Sisi tunataka kila nchi ibaki na soko lake, ili kumaliza huku kulaumiana kila mara. Kenya msiuze bidhaa Uganda wala Tanzania, na Tanzania nao wasiuze bidhaa Kenya. Kila nchi ibaki na bidhaa zake.Hivi kuna watu ambao wana roho nyeusi zaidi yenu hapa A.M? Jiwe lenu liliongeza import duty ya maziwa kwa 1,000%, tena kwa maziwa ya Kenya pekee yake. Umesoma huo uzi hapo ukaona comment zenu na mlivofurahia?
Uganda wachunge sana maana 80% ya import yao inapitia Kenya.Politicizing this issue will affect both sides and innocent citizens may suffer more. I personally watched on TV President Kenyata declaring 16% value added tax on imported milk but from outside EAC, so if this tax apply on Ugandan milk then something is wrong with kenyan authority. I known the Lato milk factory in Mbarara along the road, it's well equipped, modern and very clean factory to produce milk, i wonder on which basis Kenyan officials calcified Lato milk as a counterfeit product.
Ugandans handle this situation with extra care, now you don't sell your products to Rwanda and eastern DRC because Rwanda closed their border with you. Now if you loose kenya market as well you will be totally f****d.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe bwege sio expert wa mambo ya Kenya? Hivi unajua brookside ni ya nani? Basi kafanye research yako kisha utaelewa nini kinaendelea hapa.sasa ndo mnalipizia Uganda? si kazi yako kuamua wapi Uganda wauze maziwa yao fool!
Fool, i dont need to know that esp. when u r in common market! ownership is irrelevant!Kumbe wewe bwege sio expert wa mambo ya Kenya? Hivi unajua brookside ni ya nani? Basi kafanye research yako kisha utaelewa nini kinaendelea hapa.