Uganda Gives Kenya 14-Days Ultimatum To Release Confiscated Lato Milk

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,772
78,446
Uganda government has written to its Kenyan counterparts regarding the confiscated 23 tonnes of Lato Milk products produced by Pearl Dairies Ltd.

According to Uganda’s Trade Minister Amelia Kyambadde, through the Foreign Affairs Ministry, they have written to the Kenyan government to give an update and response within 14 days.

“Kenya exports more goods to Uganda than we export to Kenya. The trade balance is still in favour of Kenya. We don’t want to retaliate by banning Kenyan products on to the Ugandan market because of the East African Community spirit but we have written to them through the ministry of Foreign Affairs expecting a response/explanation within 14 days,” said Kyambadde in Kampala.

Kyambadde said as the Minister of Trade, she tried to contact her counterpart in Kenya, but because of the reshuffles that went on in Kenya recently, she couldn’t get in touch with the new Kenya Cabinet Minister for Trade.

Uganda demanded that Kenya immediately release the seized consignment of {Lato} branded milk as they were duly cleared by the relevant Kenyan government bodies for importation into Kenya and are not contraband, substandard and or counterfeit as alleged.

“Cease any operations specifically targeting Ugandan made milk exported to Kenya. Refrain from any actions against Uganda’s exports to Kenya be it milk or any other products that contravene the EAC customs union protocol and common market protocol.

“Take responsibility for any spoilage of the products that may have been suffered during the illegal detention of the products and losses suffered in accordance with the EAC NTB elimination Act 2017.

“Address any trade concerns within the existing EAC and bilateral frameworks rather than using arbitrary means that could jeopardise the otherwise blossoming trade relations between the two countries.”

Recently, several traders distributing Ugandan milk in Kenya saw their products confiscated by authorities in Kenya, even when they have evidence that they had paid duties to get the milk into the country.

Kenya Anti-counterfeit Unit early this week raided Milk distributors in Meru in eastern Kenya and confiscated up to 23 tonnes of milk.

According to Pritpal Bhamra whose depot was raided and he mainly stocks products of Pearl Dairies Ltd like Lato Milk manufactured in Mbarara Uganda, the raid was intended to block investors from doing business and called the raid “politically motivated.”

The same unit had also raided two warehouses belonging to one of the largest milk importers and distributors in Nairobi and took away tonnes of milk powder under the brand name Lato Milk.

Lato Milk is processed in Mbarara by Pearl Dairy and is one of the most popular brands in Kenya but the country has recently sought to reduce milk imports because of low prices local farmers there are facing.

Last month, Kenyan officials visited Uganda to ascertain whether indeed the milk was coming from Uganda. They concluded that Kenya would be imposing a 16 per cent Value Added Tax (VAT) on Ugandan milk.

This, Kyambadde said is illegal under the Common Market protocol and they will await Kenyan government response after the 14 days.

Uganda has seen its milk production grow tremendously with reforms in the dairy sector to 2.6 billion litres a year in 2018. At least 144 million litres are sold in Kenya every year, according to industry estimates. Kenyan companies like Fresh Dairy are big processors of milk exported there.

Good weather has also seen Kenya up its production to 5 billion litres a year. This with the milk imported from Uganda has depressed the local market, forcing Kenya to start measures to curtail Kampala milk. In 2010, Kenya blocked milk from Uganda to protect its farmers.

Source: BusiWeek
=====

MY TAKE:
I hear Uganda plans retaliation on Kenya's packed juices and roofs to Uganda!
 
Nimekusoma na kukuelewa vizuri, ni kweli kabisa kuwa Wakenya ndio Supplier wakubwa zaidi wa goods kwa Afrika Mashariki yote kwakuwa wana viwanda vingi zaidi.

LAKINI, wana roho mbaya sana...wao hawataki usupply products zako kwao ila wao wanataka wapate soko kwenu.

Na Waziri wa mambo ya nje wa Uganda amethibitisha hilo ni bora kuwaban wasipeleke hayo maziwa yao ya LATO huko Uganda kwakuwa hata wachuuzi wa kiganda wananyanyaswa na mamlaka za Kenya.

Manyang'au ni Manyang'au tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Politicizing this issue will affect both sides and innocent citizens may suffer more. I personally watched on TV President Kenyata declaring 16% value added tax on imported milk but from outside EAC, so if this tax apply on Ugandan milk then something is wrong with kenyan authority. I known the Lato milk factory in Mbarara along the road, it's well equipped, modern and very clean factory to produce milk, i wonder on which basis Kenyan officials calcified Lato milk as a counterfeit product.
Ugandans handle this situation with extra care, now you don't sell your products to Rwanda and eastern DRC because Rwanda closed their border with you. Now if you loose kenya market as well you will be totally f****d.

Kama ni supplier wakubwa kuna tatizo gani waki-compete fair on those markets?
 
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.

Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.

Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..

Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.
 
So what?
 
Wanafik katika ubora wao. Mbona maziwa ya Kenya mliyapiga marufuku huko Tz? Naona mnarukia na kiherehere na chuki zenu kwenye masuala ambayo hayawahusu. Huu mvutano wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda sio jambo la kufurahisha hata kidogo. Ila haina budi kwasababu wakulima wa Kenya nao wameliamsha, na wana haki ya kusikizwa, ukizingatia ripoti ya kamati ya kilimo ambayo ilifika hadi Uganda hivi majuzi. Hebu tuangalie facts kama zilivyo. Kenya kwa sasa inazalisha lita 5.6 billion za maziwa, kwa mwaka. Wakenya wanatumia lita 5.17 billion. Surplus inabaki lita 430 million! Ongeza juu yake lita 122 million ambazo zinaingia Kenya kutoka nchi zingine, ndani na nje ya ukanda huu. Waganda wanazalisha lita 67 million tu, maziwa ambayo hayawezi yakatosheleza hata soko la ndani Uganda. Ila mwaka wa 2019 lita 154 million za maziwa ziliingizwa Kenya kutoka UG. Hesabu hazibalance hata kidogo.
 
Hivi kuna watu ambao wana roho nyeusi zaidi yenu hapa A.M? Jiwe lenu liliongeza import duty ya maziwa kwa 1,000%, tena kwa maziwa ya Kenya pekee yake. Umesoma huo uzi hapo ukaona comment zenu na mlivofurahia?

Acha ufala wewe, hiyo kodi applies to all imported milk products, including powdered milk like infant formula etc, fyi Tanzania imports more powdered milk products than your negligible uhuru kenyata maziwa.
 
Wanaimport milk powder then they convert it into Packed milk.
Very harmful
 
sasa ndo mnalipizia Uganda? si kazi yako kuamua wapi Uganda wauze maziwa yao fool!
 
Sitiupid! Huwezi hata kusoma na kuelewa taarifa kwenye hiyo link ya DN, angalau upate 'gist' tu ya kinachojadiliwa? Hormones zipeleke kwa kina dada wenzako.
 
Acha ufala wewe, hiyo kodi applies to all imported milk products, including powdered milk like infant formula etc, fyi Tanzania imports more powdered milk products than your negligible uhuru kenyata maziwa.
Hongereni kwa kuimport powdered milk kwa wingi. Ila kitu ambacho sidhani mnakijua hadi wa leo ni kwamba mlipokuwa mnafanya uchawi wenu dhidi ya Brookside na U.Kenyatta. Hiyo Oktoba 2018 mlipo ongeza import fee, miezi 18 kabla, Machi 2017 Brookside DAIRIES ya Kenyatta iliuza mali na shares zake zote Tz kwa Brookside HOLDINGS ya Danone, kampuni kutoka Ufaransa. Yaani mlichezewa chess move moja kali mkabaki na roho zenu nyeusi mkipambana na kivuli eti kwasababu vivuli vyote vinafanana.
 
Hivi kuna watu ambao wana roho nyeusi zaidi yenu hapa A.M? Jiwe lenu liliongeza import duty ya maziwa kwa 1,000%, tena kwa maziwa ya Kenya pekee yake. Umesoma huo uzi hapo ukaona comment zenu na mlivofurahia?
Sisi tunataka kila nchi ibaki na soko lake, ili kumaliza huku kulaumiana kila mara. Kenya msiuze bidhaa Uganda wala Tanzania, na Tanzania nao wasiuze bidhaa Kenya. Kila nchi ibaki na bidhaa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Politicizing this issue will affect both sides and innocent citizens may suffer more. I personally watched on TV President Kenyata declaring 16% value added tax on imported milk but from outside EAC, so if this tax apply on Ugandan milk then something is wrong with kenyan authority. I known the Lato milk factory in Mbarara along the road, it's well equipped, modern and very clean factory to produce milk, i wonder on which basis Kenyan officials calcified Lato milk as a counterfeit product.
Ugandans handle this situation with extra care, now you don't sell your products to Rwanda and eastern DRC because Rwanda closed their border with you. Now if you loose kenya market as well you will be totally f****d.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda wachunge sana maana 80% ya import yao inapitia Kenya.
 
sasa ndo mnalipizia Uganda? si kazi yako kuamua wapi Uganda wauze maziwa yao fool!
Kumbe wewe bwege sio expert wa mambo ya Kenya? Hivi unajua brookside ni ya nani? Basi kafanye research yako kisha utaelewa nini kinaendelea hapa.
 
Fool, i dont need to know that esp. when u r in common market! ownership is irrelevant!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom