Ufunuo mkubwa duniani

Point ni kwamba dunia ni kama lisahani fulani kubwa halafu jua ni kama tonge la ugali la moto linalong'aa linazungua juu ya hilo sahani.
Duh na mtu yupo serious anaamini hivyo?
 
Reactions: Tsh
Tumefumbwa mengi sana kwa mda mtefu sana, dunia inasiri kubwa mno zimefichwa
 
Kwa hiyo hapa unajiona bonge la great thinker 😀😀😀
 
Huo muda uliotumia kuandika nonsense ungeutumia walau kufikiri namna ya kufanya kilimo bora cha maharage ingekuwa vyema
 
According to Bible, Mungu alimwambia Joshua, simamisha jua. Joshua akasimamisha Jua kisha akaendelea kupigana vita.
Ni jua ndio linaizunguka dunia na sio dunia kulizunguka jua.

Stupid fakin idiot
Ni kawaida sana kujua wafia dini kama ni wewe kilaza, elimu ilikupita kushoto kila ulichoandika kinatoka mataconi kwako ,
 
MUNGU WA KWELI ANAKUPENDA
 
Mkuu, hata ingekuwa kweli then what? Yaani tukikubaliana woote kuwa dunia ni flat, then?
Mimi najua hata baada ya kifo,kitu ambacho naweza kukuambia HAKUNA MOTO ,Nakusaidia napajua utakumbuka hii reply huna mwili ila unashuhudia kwa jicho la roho
 
Stupid fakin idiot
Ni kawaida sana kujua wafia dini kama ni wewe kilaza, elimu ilikupita kushoto kila ulichoandika kinatoka mataconi kwako ,
nakuonea huruma ila muda si mrefu utajionea
 
Nilipofikia biblia na Korani nikaaachana na hekaya nisipoteze muda wangu
ni reference tu hata mimi sina dini ila namwamini MUNGU WA KWELI ila jua saa mbovu pia inajua KWELI
 
Mimi najua hata baada ya kifo,kitu ambacho naweza kukuambia HAKUNA MOTO ,Nakusaidia napajua utakumbuka hii reply huna mwili ila unashuhudia kwa jicho la roho
Ukiniambia hakuna moto then ukawepo au usiwepo unakuwa umenisaidiaje?
 
Ukiongelea vibration, frequency na energy ... Kama mtu haujadadavua haya mambo kwa kuyahusisha na mambo ya kiroho ni ngumu sana wakukuelewa.

Every spiritual port Ina vibrate kama frequency fulani ili kufunguka you must have a spiritual code ... Chant

Mimi nimekuelewa Kuwa, maelezo haya yote tangu mwanzo, ni msingi unaojenga ambao umekusudia kutekeleza jambo fulani kubwa

Yaani target yako si kupinga na kutueleza kuhusu uhalisia wa umbo la Dunia

Ila Kuna target point unataka kutupeleka ila kabla ya kutufikisha huko umeanza na sisi mwanzo sana, maana hukutaka kukurupa!

Nakuelewa

Ila kumbuka .. some people's mind are closed and damaged na nguvu za Giza

Ni ngumu kukubali ... Paradigm shift is not easy hasa kwa programming mind ambayo haiamini Uwepo wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…