Ufunuo mkubwa duniani

Hivi kuna mjinga anayefikiri haya ni kweli?!
 
Dah aiseee..

Mkuu vipi kuhusu haya madawa tunayokula yana msaada wowote?

Maana mimi nashangaa hata bila kutumia dawa yale magonjea ya kawaida huondoka yenyewe tu.

Js wamstuficha ukweli mpaka na huku kwenye matibabu?
 
Reactions: K11
Dah aiseee..

Mkuu vipi kuhusu haya madawa tunayokula yana msaada wowote?

Maana mimi nashangaa hata bila kutumia dawa yale magonjea ya kawaida huondoka yenyewe tu.

Js wamstuficha ukweli mpaka na huku kwenye matibabu?
dawa ni mitishamba ,nyama hupunguza nguvu za kiroho,dunia ni gereza tumetekwa sisi kizazi cha watu wenye miili ya nyama tulioumbwa kupitia DNA za annunaqi,damu yao,miili yao na udanganyifu wao ,biblia inaongelea elohim /malaika walioasi ndo walituumba sisi,before tulikuwa na miili ya aetheric na watakatifu kabla ya kuja kwenye hii simulation
 
Reactions: K11
Ukweli ni kwamba hakuna mwanadamu yeyote anayeweza kutoka nje ya dunia kupitia anga. Kupitia huko Atlantic sijafhaamu bado.
ndo gateway ipo huko rejea ramani ya kwanza kwenye thread
 
Reactions: K11
Aiseee umeniacha mbali sana mkuuu na sijaelewa kabisa kuhusu majibu ya swali langu, huwenda haya ni mambo mageni zaidi kwangu..


Btw niko open minded kujifunza.
 
wadanganye babaako na mamaako vyombo huwa vinarushwa live from launch to docking astronauts wanafika kwenye zero gravity pen zao zinaanza kuelea hewani bila kuanguka chini umevimbiwa maharage unakuja kuandika ujinga hapa. Hayo majaribio ya laser au telescope kwa nini msiyafanye kwa 200km mnaishia 10-20km?
 
Nilipofikia biblia na Korani nikaaachana na hekaya nisipoteze muda wangu
 
Maandishi marefu, aliyesoma anisaidie kuniambia point ni nini?
 
Kwamba sayari ya dunia ni tambarare 😂😂😂 na unaamini? nyie kuna watu vilaza sikujua
 
Maandishi marefu, aliyesoma anisaidie kuniambia point ni nini?
Point ni kwamba dunia ni kama lisahani fulani kubwa halafu jua ni kama tonge la ugali la moto linalong'aa linazungua juu ya hilo sahani.
 
Endelea kuonyesha hizo conspiracies za hao world elites waliotuaminisha kuwa dunia ni duara ili watutawale kifikra wakati kitu ni tambarare kabisa.
Sasa mkuu mfano wakikuambia kuwa ni tambarare unakuaje huru kifikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…