Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya yule nyoka, wote wakaanguka chini na kuishiwa nguvu kabisa.
Yule nyoka akiwa, kando yao akaanza kugeuka rangi ubavuni mwake mithili ya kinyonga, na kuanza kufanana kama wale vinyonga.
Wale vinyoka wakiwa wametepeta pale chini yule nyoka akaanza kuwinda panya... Alimkimbiza panya mmoja wa rangi nyeusi kwa hasira ya hali ya juu na yule panya akapotelea kichakani.
#Pia tarehe 28-10-2025, niliona Raisi akiwa katika nyumba flani hivi mazingira yake ya kawaida,
Alitoa maagizo kwa dobi wake kwamba amfulie nguo zake yule dobi alikua mtiifu lakini alipotoka uwani ndani ya fensi alishuhudia mlinzi wa nyumba ile akiwa amejaa dharau, jeuri, kiburi na kupuuzia maagizo kutoka kwa raisi, kiasi kwamba siku hiyo aligoma kumsaidia dobi kuteka maji katika kisima.
Tuondosheee taka hapa tushachoka na watu wenye changamoto ya afya ya akiliKatika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya yule nyoka, wote wakaanguka chini na kuishiwa nguvu kabisa.
Yule nyoka akiwa, kando yao akaanza kugeuka rangi ubavuni mwake mithili ya kinyonga, na kuanza kufanana kama wale vinyonga.
Wale vinyoka wakiwa wametepeta pale chini yule nyoka akaanza kuwinda panya... Alimkimbiza panya mmoja wa rangi nyeusi kwa hasira ya hali ya juu na yule panya akapotelea kichakani.
#Pia tarehe 28-10-2025, niliona Raisi akiwa katika nyumba flani hivi mazingira yake ya kawaida,
Alitoa maagizo kwa dobi wake kwamba amfulie nguo zake yule dobi alikua mtiifu lakini yule dobi alipotoka na kuingia uwani ndani ya fensi alishuhudia mlinzi wa nyumba ile akiwa amejaa dharau, jeuri, kiburi na kupuuzia maagizo kutoka kwa raisi, kiasi kwamba siku hiyo aligoma kumsaidia dobi kuteka maji katika kisima.
MKUU,NISAIDIE SIJAELEWAKatika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya yule nyoka, wote wakaanguka chini na kuishiwa nguvu kabisa.
Yule nyoka akiwa, kando yao akaanza kugeuka rangi ubavuni mwake mithili ya kinyonga, na kuanza kufanana kama wale vinyonga.
Wale vinyoka wakiwa wametepeta pale chini yule nyoka akaanza kuwinda panya... Alimkimbiza panya mmoja wa rangi nyeusi kwa hasira ya hali ya juu na yule panya akapotelea kichakani.
#Pia tarehe 28-10-2025, niliona Raisi akiwa katika nyumba flani hivi mazingira yake ya kawaida,
Alitoa maagizo kwa dobi wake kwamba amfulie nguo zake yule dobi alikua mtiifu lakini yule dobi alipotoka na kuingia uwani ndani ya fensi alishuhudia mlinzi wa nyumba ile akiwa amejaa dharau, jeuri, kiburi na kupuuzia maagizo kutoka kwa raisi, kiasi kwamba siku hiyo aligoma kumsaidia dobi kuteka maji katika kisima.
MKUU,MIMI
MKUU,NISAIDIE SIJAELEWA
HAPANA MKUU,MAMBO YAKO HUWA NAFANYIA KAZI SANA.Mkuu hiyo ya vinyonga na nyoka hata mimi sijaelewa... Ila tukio likidhihirika/likitokea katika ulimwengu huu, ndio unaweza ukahusianisha na ika-make sense.
Ila hii ya Raisi... inawezekana huko mbeleni akakosa ushawishi na uungwaji mkono na vyombo vya ulinzi na hili watashuhudia wasaidizi wake wakiwa wanatekeleza maagizo yake, pasipo yeye kujua kua idara flani hawamkubali na hawaonyeshi ushirikiano kwa wasaidizi wake.
Angalizo mkuu usichukulie maanani sana kwakua hizi ni ndoto tu.
Katika kutafakali huu ufunuo nimewaza kua,HAPANA MKUU,MAMBO YAKO HUWA NAFANYIA KAZI SANA.
ULIMUOTA POLEPOLE,NA ILITOKEA VILEVILE
Hao vinyonga wawili wa rangi moja ya kijani, na wanapigana taaratibu.Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Hapa itatokea taasisi au chama kingine pengine sio cha nchini humu au cha ndani ya nchi kwahiyo shughuli zake ni ndani ya nchi ila chimbuko lake/msingi ni nje ya nchi(puppet(nyoka hana miguu))Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya yule nyoka, wote wakaanguka chini na kuishiwa nguvu kabisa.
Jinsi nilivyomuona huyu nyoka alikua ananguvu na aggressive kiasi... Hivyo ni taasisi au chama chenye nguvu na kasi ya ajabu.Yule nyoka akiwa, kando yao akaanza kugeuka rangi ubavuni mwake mithili ya kinyonga, na kuanza kufanana kama wale vinyonga.
Hiyo taasisi itaanza kufanya kazi kwa hali mpya na kasi kubwa.Wale vinyoka wakiwa wametepeta pale chini yule nyoka akaanza kuwinda panya... Alimkimbiza panya mmoja wa rangi nyeusi kwa hasira ya hali ya juu na yule panya akapotelea kichakani.