JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Kuna watu wanadhani utashi wa kuanza ujenzi huu umeanza awamu ya tano. Bahati mbaya watu hawajui kwamba mchakato huu ulianzishwa na Prof. Mark Mwandosya akiwa Waziri wa Wizara husika. Kila kitu kilifanyika awamu ya tatu. Mikataba mingi ilijazwa kipindi hicho ikiwamo na nchi za Rwanda. Bahati mbaya awamu ya Kikwete haikuupa uzito mradi huu.
Hongera pia ziwaendee Dr. Mkapa na Prof. Mark Mwandosya na Dr. Magufuli kwa kufunga goli.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Hongera pia ziwaendee Dr. Mkapa na Prof. Mark Mwandosya na Dr. Magufuli kwa kufunga goli.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.