Wanachi wote tunaoaswa kufahamu haki zetu kikatiba zikiwemo kushiriki uchaguzi mkuu 2025. Kufautiwa na ufunguzi wa kampeni zitakazo Anza tar 28.08.2025 tu aalikwa wote kufika viwanja vya Tanganyika packers tukamsikilize mgombea wetu katika yake aliyo tuandalia .
“Wananchi wa Dar es Salaam, tarehe 28/08/2025 historia mpya itaandikwa. Tukutane Kawe, Tanganyika Packers kushuhudia jambo kubwa ambalo halijawahi kutokea. Usikose, njoo uwe sehemu ya tukio la kipekee litakalotuunganisha na kutushangaza sote.”
#hijawahikutokea
#tuwashangaze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.