Ufungaji bora ligi ya soka BONGO

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi kwanini mfungaji bora wa ligi yetu ya Bongo siku zote huwa n magoli machache mara nyingi huwa hawafiki 10 au 8 wakati kwa wenzetu wanafika hata 30. Sasa sijui sababu ni uchache wa timu au ubutu wa wafungaji? Na kama ni uchache basi hata ukilinganisha kwa idadi ya timu ilitakiwa walau wawe nusu ya wenzetu. Nikifikiria haraka haraka kam mchezaji wa ulaya anafunga magoli 30 kwa mechi labda 40 basi huyu wa bongo alitakiwa afikishe walau magoli 18 kwa mechi zake za wastani wa 24. Tatizo ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom