Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 205
- 333
Mkuu Acha kuongea hivyo...hiyo kazi uliyonayo Mungu ndiye aliyekupa na wala hukuipata kwa ujanja wakoHahaha mtakuwa mnasoma mnamaliza mnaanza mnamaliza mpaka mnakufa.
Kuna kazi kutembeza magazeti ya uhuru na mzalendo, huwezi kufa njaa.
Hahaha sasa vitisho vya nini, we kasome tu.Mkuu Acha kuongea hivyo...hiyo kazi uliyonayo Mungu ndiye aliyekupa na wala hukuipata kwa ujanja wako
Short courseHyo coz ya water pump inatolewa km short course ama long course?
Chang'ombeJe, n VETA ipi wanatoa hyo course?
Mmmh! uko serious na hilo mkuu?Chang'ombe
Kaajira kapo kiasi chakeCourse narrow sana ajira pia itakuwa finyu mno.
Za magari? za visima virefu?Mambo vipi wadau.
Wadau vipi kuhusu hii fani ya ufundi wa water pump je kwa mazingira ya sasa inahitajiwa?
Vijana wote mliomaliza vyuo na hamjapata ajira nawakumbusha kuwa kuna university inaitwa VETA mkuje huku