Ufugaji wa nguruwe

Ufugaji wa nguruwe

Inatosha
downloadfile-50.jpg
 
Swali lako limepinda.

Hapa utajibiwa LINATOSHA au HALITOSHI. Siku nyingine uliza hivi mfano:
1. Niwe na eneo la ukubwa gani kufuga nguruwe 20 au 30 au 50 kulingana na idadi yako.
2. Je banda la nguruwe liwe kubwa kiasi gani (hapa utapewa square meters kwa nguruwe kadhaa).

Sasa hao nguruwe unafugia kwenye robo ekari bila banda? Huwezi jenga banda kubwa robo ekari, unajenga mabanda kadhaa
 
Yani unauza walionenepeshwa tayari au mtu anunue kisha akanenepeshe? Je Wana umri gani, aina gani, bei gani na uko mkoa gani?
 
Back
Top Bottom