Ni mwanafunzi hapa mwaka wa kwanza nmepata bum, nmefkiria kufanya biashara lakini naona haitokua na usimamizi mzuri. Hivyo nmefkiria kununua n'gombe wa kienyeji. Nahitaji tips za ufugaji wa kienyeji na gharama zake (ndama) kwa ukanda wa Moshi huku.
Ila kikubwa kama Kuna uwezekano wa kumiliki asset kama hyo na haito athiri masomo nadhan ni jambo la muhim kulko biashara ambayo muda mwngne inahtaji usimamizi wangu
Nasoma procurement and logistics