Ufugaji wa kuku

Ufugaji wa kuku

Kabla hujauliza tafuta hhumu jf kwanza,watu wamepost sana ufugaji wa kuku!
 
Kuna miuzi kibao humu juu ya ufugaj wa kuku acha uvivu wew,
 
Nenda jukwaa la ujasiriamali utapata msaada mkubwa sana
 
keki tamu, JF ni zaidi uijuavyo. Jaribu kutafuta hiyo kitu. Imejadiliwa kwa kina sana humu ndani. TAFUTA MKUU.
 
Last edited by a moderator:
Hata tarehe yako ya kujiunga JF inakutetea kuwa wewe ni mgeni na JF. na hujui nini ukiandike au ukipate wapi. Fungua business and economic forum utapata kila unachihitaji kuhusu ufugaji wa kuku.
 
nashukuru wadau kwa kunielekeza maana mimi ni mgeni hapa jf nashukuru kwa ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom