Na jambo la kustajabisha hauzi kimoja kimoja, sijui kwa nini wasingekua wanaweka Bei ya box tu tu badala ya kimoja kimoja.

Mfano box la vifaranga 100, Bei yake 170,000.

Lakini hata ukichukua box 10 au 20 hakuna punguzo.
Madalali ๐Ÿ˜‚
 
MBEYA mna ofisi?
 
Mwanza ofisi ziko sehemu gani?
 
Nahitaji kuroila F1, wanapatikana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ