Nataka kufuga hawa ndege kama pet na pia kibiashara. Kwa wale wandugu wenye uzoefu wa ufugaji wa hawa ndege wakuje hapa watoe nondoz zao. Hapa kuna fursa nzuri sana hususani biashara ya mayai. Msiniulize yananunuliwa na nani ila wateja wapo. Kikubwa ni kutangaza biashara