kipachaibwe
Member
- Dec 11, 2020
- 36
- 71
Habari wadau najitokeza kwenu kuomba ajira
Nipo Arusha mjini nina uzoefu wa kutengeneza garden na kutunza lkn pia nina uzoefu pia wa ufugaji samaki kuanzia uandaaji wa bwawa mpk kuweka samaki na pia najua kuchanganya chakula chake pia
Kwahio ukinipa ajira yoyote halali basi hivyo vingine nitafanya Kama moja ya kazi kiujumla Kama utahitaji.
Nipo Arusha mjini lkn popote naweza kuja
Asanteni