Gamariel Member Joined Sep 8, 2009 Posts 82 Reaction score 6 Feb 17, 2014 #1 Kuna mida swala la Freemasons liliwika sana mjini lakini naona silisikii sana. Kuna wakati mtu akiwa na pesa utasikia huyu ni Freemason. Wimbi hilo lineishia wapi?
Kuna mida swala la Freemasons liliwika sana mjini lakini naona silisikii sana. Kuna wakati mtu akiwa na pesa utasikia huyu ni Freemason. Wimbi hilo lineishia wapi?