UFM ni redio gani?

UFM ni redio gani?

utandawazi

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
96
Reaction score
16
Hii ni radio station inayosikika kupitia king'amuzi cha Azam, ningependa kujua ni kituo gani hiki cha redio?
 
Ni Uhai FM. Radio ya kampuni ya Bakhresa. iko kwenye majaribio kwa sasa
 
Hata ukisearch kwny frequency ipo
 
UHAI FM Ni redio ya Bakhresa hiyo.

Uhai Fm na Azam Tv ni kampuni ndugu chini ya Uhai Production.

YAani ni saw na Itv na Radio One ni kampuni ndugu za IPP.
 
Back
Top Bottom