salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Vodacom hawawezi kukuibia hela yako hata cku moja ilo futa akilini mwako nina uhakika ni mobile banking kwenda mpesa hili ni tatizo la mabenk yetu nenda vodashop yeyote ile iliyokaribu na ww watakwambia!!usipende kutumia lugha kali hvy wakati uhakika mwingine ww mwenyewe unaweza kujua sorce ya hili tatizo lako
Mkuu unataka aanze kubembeleza wezi?
Katika hali ya kawaida kama ni hitilafu hutokea kwa zaidi ya account moja. Sasa mtu tangu hiyo J5 hadi.keo anaambiwa wanafuatilia, system yao kama ingekuwa well secured haya yote yasingetokea, huo ni uzembe wao na wanatakiwa wawajibishwe. Hakuna lugha raini ya kuwabembeleza zaidi ya hy aliyoitoa.
Huu upole wetu sometime unakuwa ni ujinga.
Amevumilia tangu Jumatano leo ni Jumamosi bado unataka awe mpole?, Are u serious?
Hata katika vitabu vya Mungu haviruhusu upole unaosabisha kuwa mjinga.
Iliyoibiwa ni airtime mkuu, pesa ya vocha nilizoingiza kwa ajili ya maongezi sio bank balanceKwenye upande wa huduma za kibenki kupitia simu Tanzania bado sana. Usalama wa pesa za wateja ni mdogo sana, ulinzi wa kuzuia wezi wa mitandaoni bado sana. Pesa zinaibiwa kwa namna ambayo hata wao wanabaki kuduwaa imekuwaje kitu ambacho hakitakiwi. Mimi hizi huduma za kibenki kutumia simu situmii kabisa na hata benki natumia akaunti ambayo haina kadi ya ATM wala nini. Pole sana.
Walicholamba ni airtime au pesa ya vocha nilizojaza kwa ajili ya maongezi sio bank balanceJamaa yako kapigwa hela kwenye bank kaka kwenda mpesa yeye mwenyewe hajielewi tu hapo tatizo ni bank na huwa nawashanga sana mnapohangaika na mobile banking poleni sana
Mkuu imeibiwa Salio la airtime au Salio la e-money? Hapo sijskuelewa mkuu.
Kama ni Salio la pesa iko kwenye line yani moesa au kwenye Akaunti ya Benki? Nashindwa kujua nikupe ushauri UPI.
Naasume iko kwenye Akaunti, then nenda benki waambie pesa iko wapi? Lakini kwa ulivoeleza ni ishu ya Vodacom ila kama ilikuwa kwenye akaunti na ikapotea, nina ihakika ungeenda benki badala ya Vodacom...kwa maana iyo kuna kitu haujaweka wazi apa na mwishowe tutalaumu bila kumjua mchawi!
Ni ayo mkuu
Iliyoibiwa ni airtime mkuu, pesa ya vocha nilizoingiza kwa ajili ya maongezi sio bank balance