Ufisadi Wa Kutisha Taasisi Za Umma-dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi Wa Kutisha Taasisi Za Umma-dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 12, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,451
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  jinamizi la ufisadi limezidi kuuandama serikali na taasisi zake baada ya ripot ya CAG kuonyesha mabiliion yanavyoliwa kwenye mashirika yetu ya umma.....katika eneo moja kunaonyesha zaidi ya BILLION 29(ROBO EPA)...ZILIZOKATWA KWENYE MISHAHARA YA WAFANYAKAZI KWA AJILI YA NSSF NA WENZAKE HAZIKUFIKISHWA KUNAKOTAKIWA NA HIVYO KUMNYIMA MFANYAKAZI HAKI YAKE....YA MALIPO---LOOH-------------------------------------
  TAASISI ZILIZOAINISHWA NI STAMICO BODI YA BIASHARA BET TPC NA MUHIMBILI MNH....MBALI NA HAPO KUNA MASHIRIKA MENGI YAMEKUTWA NA UFISADI WA HALI YA JUU TANAPA AMBAPO YALIFANYIKA MALIPO YA BILLION 9.5 MBAYO MPAKA SASA WAMESHINDWA KUONYESHA MATUMIZI YAKE NA VITU VILIVYONUNULIWA...AIDHA UTOUH AMESEMA KATIKA UKAGUZI HUO AMEOKOA ZAIDI YA SH MILLION 452 ZA WASTAAFU WALIZOSTAHILI KULIPWA ....LOH JAMANI HATA WASTAAFU???????WENGINE NI BODI TYA TUMBAKU KUNUNUA VITU VYA SH MILLION 200 PASIPO KUWA NA TAARIFA SAHIHI KATIKA HESABU ZAKE....ALIYATAJA MADUDU MENGINE NI MAMLAKA YA BANDARI TPA ILIINGIA MKATABA NA TICTS MEI 2000 AMBAO ULIIPA MKATABA WA MIAKA KUMI......PIA ALIFANYA UKAGUZI MAALUM KATIKA BOT NA KUKUTANA NA MTAALUMA EPA ASHAFANYA MAMBO YAKE......KATIKA UKAGUZI WAKE BANDARI AMESEMA KUWEPO KWA KASORO NYINGI KATIKA USAINISHWAJI WA MKATABA HUO AUKUZINGATIWA SHERIA NA TARATIBU ZA UNNUNZI WA MASHIRIKA YA UMMA......AIDHA ALISEMA KUNA MASHIRIKA 158 ANAYOPASWA KUKAGUA LAKINI ARIPOTI ILIYOWASILISHWA INA MASHRIKA 91 NA KUWAMBIA WASIOGUSWA WAKAE MKAO WA KULIWA....WENYE DATA ZA MSHIRIKA MWA=GENI HUKU WATU WAFANYE MAMBO NDIO WAKATI WENYE HUO...TUCHE KULALAMIKA
   
 2. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cha ajabu pamoja na haya yote, wabunge watakalia kimya tu kama kawaida yao, serikali itajifanya kimya na mwishilio wake ni waziri mkuu au kikwete kuunda tume tu

  Hizi tume za kinafiki tu, hatuziitaji kwa sasa jamani, maana naona mambo yanakuwa hovyo hovyop kutoka na hizi tume za JK na Pinda

  Haya CAG wetu kaamua kuwa mkweli kidogo kwa 5% sasa angeamua kuwa mkweli walau kwa 25% ingekuwaje?? TZ sio kihivyo jamani, ila tunajitakia matatizo siku zote
   
Loading...