Mi nadhani suluhisho ni katiba mpya, na tukiipata katiba mpya tuanze kuwafilisi wote wanaoiibia nchi kiujanja ujanja.
Hii Nchi ni Nchi ya ajabu sana Dr Meru ni fisadi mkubwa ,Miaka ya 2000,s Akiwa mkurugenzi mkuu wa VETA alifukuzwa kazi na Mkapa,nilishangaa sana alipoteuliwa na Mbayuwayu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EPZA. Zito hongera sana next time akija na forgery zake peleka file zake TAKUKURU achunguzwe tumechoshwa na ufisadi ,ana tatizo lingine la ufuska jamaa anapenda vibaya alivyokuwa Manager wa VETA kanda ya kaskazini Moshi alikuwa na uhusiano usio wa kawaida na secretary wake ilifika wakati kila tender alikuwa anampa laaziz wake,Akahamishwa VETA Makao makuu akaendelea na Mtindo huu this time ikawa worse kila tender akawa anampa mama mmoja pale ni mke wa mtu ambaye pia alikuwa ni Laaziz wake ikafika hatua huyo mama akapewa talaka,.
Alipohamishiwa wizara ya viwanda na Biashara jamaa akaendelea na huu upuuzi,Worse still last month akafanya ufisadi mwingine ku- Outsorce maandalizi ya warsha ya EPZA Iliyofanyika mlimani City kwa laaziz wake,
Suala la katibu mpya halina mjada ni lazima tuwe na katiba mpya, Hii issue ya Dr Mero ipo straight forward haitaji kusubiri katiba mpya sheria za rushwa zilizopo zinatosheleza kumfikisha mahakamani
kwenye red you wrote kinyesi.Ogwari Nyarwath, Hii nchi inatisha kila kona ni mchezo wa ufisadi I bet hatutakaa tuendelee milele zote kama chama hiki cha magamba kitaendelea hadi 2015. This is really bad for this generation!, who will save this country out of looting for future generation? It is you, I, they, them, we. Let us act now. 😛ound:
Labda uliungama dhambi zake kwa mbayuwayu akasamehewa kwa jina la Gamba. Lakini inaonekana amerudia sasa sijui ataungama kwa jina gani? :smow:
VincentHao EPZ wameenda kuvunja Hazina na kujilipa hayo mabilioni? Nadhani Serikali inatakiwa kufanya "Monitoring & Evaluation" ya miradi yote mikubwa kila baada ya hatua fulani kabla ya kutoa pesa zaidi kwenye mradi husika. Multinational NGOs nyingi zimefanikiwa kwa kuwa na program ya "Monitoring & Evaluation" kwa kila mradi wanaoufadhili.