Ufisadi wa kisiasa

Ufisadi wa kisiasa

kibasa

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Kiufupi ni kwamba habar za siri zilofichika ni kwamba ccm imejiaandaa kutengua baadhi ya vipengele kwenye katiba mpya. Ili ccm ipate mwanya wa madaraka kwenye mfumo wa kuendelea kumchagua kamishna wa uchaguzi nchini!! Kwa kipengele hcho wadau tuwe makini kupambana na kutetea kipengele hicho ili kiwe huru katika kufanya na kuamua maauz yaliyosahihi kwa maslahi ya taifa au nyiny mnacemaje?? Kwa hili?!
 
Wazalendo kama sis huwa tunasema ili kuokoa roho lazima roho zitumike cjui kma mnanielewa?
 
Nina wasiwasi jinsi maoni ya viongozi kuhusu katiba yanvyoshabikiwa na vyombo vya habari. Ukiyachunguza vizuri, mengi ya maoni hayo yanapendekezo mfumo uliopo ubakie. Wananchi wameona kuwa mfumo huo mbovu ndio umetufikisha mahali pabaya na lazima uondoke, wao viongozi wanafikiria kinyume na wananchi.
 
Kwa sasa hivi itawasumbua CCM. Nadhani wangekaa wajipange upya maana kuna mambo mengine hata hayaingii tena akilini mwa wa-TZ.
 
Kiufupi ni kwamba habar za siri zilofichika ni kwamba ccm imejiaandaa kutengua baadhi ya vipengele kwenye katiba mpya. Ili ccm ipate mwanya wa madaraka kwenye mfumo wa kuendelea kumchagua kamishna wa uchaguzi nchini!! Kwa kipengele hcho wadau tuwe makini kupambana na kutetea kipengele hicho ili kiwe huru katika kufanya na kuamua maauz yaliyosahihi kwa maslahi ya taifa au nyiny mnacemaje?? Kwa hili?!

Hata mimi nimezipata habari hizo na mkakati unaanza mara baada ya hatua ya maoni kuisha, sio hicho tu ni vingi vyenye maslahi yao
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kutumia watu walewale waliosababisha tatizo.....
 
Back
Top Bottom