Cloud Computing
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 334
- 85
Halmashauri ya jiji la Mbeya wameongeza kupima viwanja eneo la Itezi jijini Mbeya, lakini viwanja hivyo havijatangazwa kwa wananchi. Kilichotokea ni watendaji wa idara hiyo na watendaji wengine wa jiji kujigawia viwanja na kufanya udalali.