game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,402
- 23,325
Kwa kuwa Mzungu amesema hamna ufisadi na wewe unaamini? Huyu Mzungu ni sehemu ya Utawala wa Obama ambao ndiyo uliopiga hilo dili, sasa ulitegemea aseme kulikuwa na Ufisadi?
Mkuu Barbarosa,
Hawa wakenya vichwa vikubwa vimejaa upepo, ni mamburula wa kutupwa.
Huwa wanajisifia humu eti raisi wa Marekani alikuwa mkenya,
Wakati huyo rais hakuwahi kuwa na muda na Kenya zaidi ya kuweka miundombinu madhubuti ya kuifaidisha marekani(nchi yake kipenzi) kwa kuinyonya Africa ikiwemo Kenya yenyewe.
Bure kabisa hawa kina wanjiru.