Ufisadi, ufisadi, ufisadi........................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi, ufisadi, ufisadi...........................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Logo, May 12, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari yako msomaji,
  Nimesikitika sana, na nitaendelea kusikitika sana baada ya kuona threads humu zikizungumzia ufisadi wa kuudhi mioyo ya watu. Baadhi ya watu wamecomment eti wamechoka kusikia neno ufisadi na wengine wamedai eti tusitilie nguvu sana suala hili!
  Yangu ni haya:-
  1. Anayesema amechoka kusikia neno usifadi na yeye ni fisadi na hatufai Tanzania. Ukweli uliopo ni unauma sana kusikia watu wanatajirika kwa pesa za masikini. Tanzania isingekuwa na ufisadi maisha ya wanachi wengi yangekuwa bora mno! Kuna mambo yamefichuliwa mara kwa mara ni uozo mbaya mno! Yanauma sana halafu unasema umechoka kusikia neno ufisadi unataka tuache kulisema ili uleeeee??? Hutufai wewe!

  2. Jaman ukweli uliopo kuhusu ufisadi wa migodini unaniuma sana tena nimeasirka simaliziiiiiiiiiii tena hii thred agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr :sick:nimechoka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekerwa sana. Semina elekezi wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, migodini wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hospitalini wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, polisiiiiiiiiiiii wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wizara wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hivi watanzania kwanini tusishikamane tuwe kama wenzetu wa M.......naL......???? wakati umefika

  ANAESEMA AMECHOKA KUSKIA UFISADI AU KUTOKUONA UMUHIMU WAKE NI MJINGA NA HATUFAI TANZANIA.
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa kelele hizi za ufisadi zinawatesa wengi hadi kuanza kupiga vita, vita ya ufisadi ni ngumu lakini kama wazalendo na wapenda maendeleo hakuna kurudi nyuma, tuendelee wanaJF tushangilia kwa ushindi siku moja tena si mbali.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Huko Migodini expert from abroad wanalipwa hadi 40mil kwa mwezi, nabado 3mil za kujikimu! ni ufisadi bado makoleo ya dhahabu hayajatolewa magogoni!
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,835
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  wamekuja na ufisadi wa dr. slaa eti anapokea mshahara wa 12m ili kujibu mapigo. CCM oyeee...... Zidumu fikra sahihi za Katibu Mwenezi wa chama chetu.......
   
Loading...