proisra
JF-Expert Member
- Jun 14, 2012
- 215
- 159
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanesco kwa Kituo cha hapa Himo(Kilimanjaro) wamekuwa wababaishaji sana. Rushwa imejaa kila kona.
Sisiwananchi wa vijijini (Kirua Vunjo, Mwika, Kilema, Marangu) tunashindwa kuelewamambo ya rushwa hapa ofisini yataisha lini.
Ukitaka kufungiwa huudma ya umemenyumbani, ‘Toa kitu Kidogo'. La sivyo watakuonesha orodha ndefu ya watuwanaosubiri huduma hiyo toka mwaka 2014.
Wale wa mwaka huu 2015 wasiopendatabia hii chafu ya kuhonga wanatakiwa wasubiri hadi 2016, na visingizio kibao.
Tunaomba Tanesco Makao makuu DSM na Mkoa wa Kilimanjaro mfanyiekazi jambo hili tena kwa haraka.
Tunaomba EWURA na TAKUKURU iwamulike maofisawa hapa Himo kwa sababu tumechoshwa na dana dana zao.
Ushahidi wa hali hii upowazi, na anachojitetea Meneja wa Tanesco Himo kwamba vifaa havipo ni uwongo,kwa sababu kama vifaa havipo, kwa nini mtu wa umeme-faster akitoa ‘kitu kidogo'anafanyiwa kazi ya kuunganishiwa umeme wiki hiyo hiyo ya survey?