hakuna kitu kama hicho toa ushahidi wewe, inaonekana wewe ndiyo kati ya wale wezi, wakabila mliohamishwa kutoka TPDC na kupelekwa sehemu nyingi na wengine mmesimamishwa kutokana na wizi na ufujaji wa fedha na sasa TPDC ni adabu na heshima. utabaki hivyo hivyo na ujinga wako na umbea TPDC wanahitaji wafanyakazi na si wachoka kazi!!!