hadi uletewe maiti?mshaanza majungu yenu............ leta ushahidi sio kubwabwaja tu
hadi uletewe maiti?mshaanza majungu yenu............ leta ushahidi sio kubwabwaja tu
TPDC ilikufa siku nyingi baada ya watumishi waadilifu akina Lionel Mawalla , kustaafu.Watendaji waliopo sasa ni walaji wote wanatofautiana kiwango kulingana na vyeo vyao
sielewi unatetea nini! Mwizi ni kosa kisheria sasa ni mfanyakazi gani aliyeshtakiwa kwa wizi!; tubandikie pia hao waliofukuzwa tpdc na makabila yao na waliobakia na makabila yao! Ili tuthibitishe humu bila shaka kwamba ni kweli tpdc kabla ya uongozi huu kulikuwa na wizi na ukabila! Hilo la wachoka kazi nalo ni vyema utuwekee hawa wapya wameboresha nini?hakuna kitu kama hicho toa ushahidi wewe, inaonekana wewe ndiyo kati ya wale wezi, wakabila mliohamishwa kutoka TPDC na kupelekwa sehemu nyingi na wengine mmesimamishwa kutokana na wizi na ufujaji wa fedha na sasa TPDC ni adabu na heshima. utabaki hivyo hivyo na ujinga wako na umbea TPDC wanahitaji wafanyakazi na si wachoka kazi!!!
hizi habari zenu za kimbea mbea bila kuweka source of informations mtalifanya jukwaa lisionekane kama chumba cha Great Thinkers. hebu badilikeni jamani.
sio kila unapogombana na jamaa yako huko unakimbilia JF kupost ili kumkomesha, huo ni utumiaji mbaya wa BANDO ZETU kwenye simu tafadhali.