Ufisadi mwingine wa TPDC huu hapa

Ufisadi mwingine wa TPDC huu hapa

duladula

New Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1
Reaction score
2
Mkurugenzi wa Utawala wa TPDC aliyeteuliwa miezi michache iliyopita alamba zaidi ya millioni 100 na kujitetea kuwa milioni 60 ni malipo ya takrima ya bodi. Takrima hiyo ni ya kulipa fadhila za kumteua na kuchakachua matokeo ya usaili wa wakurugenzi wengine. Bibi huyo ameingia kwa fujo za tamaa ya pesa na kuomba kupatiwa asilimia 10 ya malipo anayopitisha kila siku.

Sasa hivi anahangaika namna ya kufuta madeni hayo ambayo yameingizwa kwenye kitabu cha wadaiwa sugu wa shirika. Deni hilo la zaidi ya milioni 100 linaleta tabu kuondolewa na hataki kueleza fedha hizo aligawana na watu gani.

Huu ni Ufisadi wa aina yake. Kwanza pesa za bodi zinatunzwa na mtunza fedha wa shirika na sio mkurugenzi wa utawala. Je sheria za fedha zinaruhusu mtu kubeba zaidi ya milioni 100 cash na kujaza kwenye pochi na kutokomea nazo kusikojulikana ? Kama zina uhalali kwa nini mtunza fedha asilipe? Na kwa nini majina ya waliogawana hizo pesa iwe siri? hakuna anayeweza kuhoji kwa vile analindwa sana na hawala yake na akisumbuliwa kidogo jioni anapeleka mashtaka kwa hawala yake ambaye yuko wizara ya nishati na madini. CAG/PCCB wanatakiwa kuchunguza ufisadi huu wa huyu mkurugenzi.

Kutokana na ufisadi wake ameamua kumnyamazisha mwenyekiti wa bodi kwa kumpatia posho nyingi hata wakati anapokwenda kijijini kwake kwenye mapumziko. Mwenyekiti huyo akienda kijijini kwake au safari zake binafsi nje ya mkoa anapatiwa posho ya kujikimu yeye pamoja na dereva. Akisafiri nje ya nchi analipwa posho yote ya safari, anapewa takrima maelfu ya dola na vilevile analipiwa hoteli yenye hadhi kubwa ya nyota 4 au 5 sasa posho nzima ya nini kama kila kitu kimelipiwa na takrima juu? Huu ni ufisadi wa aina nyingine. Yote hayo ni harakati za kumnyamazisha ili waendeleze njama zao. Mwezi uliopita alikabidhiwa V8 mpya na dereva wa kumuendesha masaa 24 hivi tujiulize huyu mwenyekiti ni mtumishi wa shirika au kazi yake ni kusimamia bodi? Iweje anunuliwe gari la kumuendesha masaa 24?

Haya ndiyo yale mambo aliyokataa Mh Mwigulu Nchemba wa ufujaji wa V8 na matumizi mabaya ya madaraka pamoja na rasilimali za umma. Huyo hawala wa mkubwa naye kakabidhiwa V8 mpya kabisa ya kumhudumia masaa 24 hii ni maalumu kwake tuu na inatembea zaidi ya km 110 kwa siku pamoja na kumpeleka kwa mzee jioni na baada ya hapo apelekwe kwake bunju.

Wakuu wengine kalagabaho yeye ni maalumu. Je wadau hii nchi tunaipeleka wapi kama sio matumizi mabaya ya madaraka?
 
mshaanza majungu yenu............
leta ushahidi sio kubwabwaja tu
 
TPDC ilikufa siku nyingi baada ya watumishi waadilifu akina Lionel Mawalla , kustaafu.Watendaji waliopo sasa ni walaji wote wanatofautiana kiwango kulingana na vyeo vyao
 
hakuna kitu kama hicho toa ushahidi wewe, inaonekana wewe ndiyo kati ya wale wezi, wakabila mliohamishwa kutoka TPDC na kupelekwa sehemu nyingi na wengine mmesimamishwa kutokana na wizi na ufujaji wa fedha na sasa TPDC ni adabu na heshima. utabaki hivyo hivyo na ujinga wako na umbea TPDC wanahitaji wafanyakazi na si wachoka kazi!!!
 
wote ndani ya ccm wezi tuu rushwa na wizi ndo sera ya ccm ndo maana sekta zote imekuwa kawaida huyu ametimiza wajibu wake kama kada wa ccm
 
Milioni 100 zinaingiaje kwenye pochi??
 
Nawe mleta maada ni fisadi! Kwa nini unashindwa kumtaja jina...hivi fisadi unamsitiri ili iweje? Kama sio utunzi tu sema anaitwa nani na hawala wake wa wizarani ni nani.
 
Chadema mkiamka na kulala mnawaza mamilioni tu.
 
hebu wataje majina yao. otherwise ni porojo tu ulizotupia humu.

Mkurugenzi wa Utawala wa TPDC aliyeteuliwa miezi michache iliyopita alamba zaidi ya millioni 100 na kujitetea kuwa milioni 60 ni malipo ya takrima ya bodi. Takrima hiyo ni ya kulipa fadhila za kumteua na kuchakachua matokeo ya usaili wa wakurugenzi wengine. Bibi huyo ameingia kwa fujo za tamaa ya pesa na kuomba kupatiwa asilimia 10 ya malipo anayopitisha kila siku.

Sasa hivi anahangaika namna ya kufuta madeni hayo ambayo yameingizwa kwenye kitabu cha wadaiwa sugu wa shirika. Deni hilo la zaidi ya milioni 100 linaleta tabu kuondolewa na hataki kueleza fedha hizo aligawana na watu gani.

Huu ni Ufisadi wa aina yake. Kwanza pesa za bodi zinatunzwa na mtunza fedha wa shirika na sio mkurugenzi wa utawala. Je sheria za fedha zinaruhusu mtu kubeba zaidi ya milioni 100 cash na kujaza kwenye pochi na kutokomea nazo kusikojulikana ? Kama zina uhalali kwa nini mtunza fedha asilipe? Na kwa nini majina ya waliogawana hizo pesa iwe siri? hakuna anayeweza kuhoji kwa vile analindwa sana na hawala yake na akisumbuliwa kidogo jioni anapeleka mashtaka kwa hawala yake ambaye yuko wizara ya nishati na madini. CAG/PCCB wanatakiwa kuchunguza ufisadi huu wa huyu mkurugenzi.

Kutokana na ufisadi wake ameamua kumnyamazisha mwenyekiti wa bodi kwa kumpatia posho nyingi hata wakati anapokwenda kijijini kwake kwenye mapumziko. Mwenyekiti huyo akienda kijijini kwake au safari zake binafsi nje ya mkoa anapatiwa posho ya kujikimu yeye pamoja na dereva. Akisafiri nje ya nchi analipwa posho yote ya safari, anapewa takrima maelfu ya dola na vilevile analipiwa hoteli yenye hadhi kubwa ya nyota 4 au 5 sasa posho nzima ya nini kama kila kitu kimelipiwa na takrima juu? Huu ni ufisadi wa aina nyingine. Yote hayo ni harakati za kumnyamazisha ili waendeleze njama zao. Mwezi uliopita alikabidhiwa V8 mpya na dereva wa kumuendesha masaa 24 hivi tujiulize huyu mwenyekiti ni mtumishi wa shirika au kazi yake ni kusimamia bodi? Iweje anunuliwe gari la kumuendesha masaa 24?

Haya ndiyo yale mambo aliyokataa Mh Mwigulu Nchemba wa ufujaji wa V8 na matumizi mabaya ya madaraka pamoja na rasilimali za umma. Huyo hawala wa mkubwa naye kakabidhiwa V8 mpya kabisa ya kumhudumia masaa 24 hii ni maalumu kwake tuu na inatembea zaidi ya km 110 kwa siku pamoja na kumpeleka kwa mzee jioni na baada ya hapo apelekwe kwake bunju.

Wakuu wengine kalagabaho yeye ni maalumu. Je wadau hii nchi tunaipeleka wapi kama sio matumizi mabaya ya madaraka?
 
Mkurugenzi wa Utawala wa TPDC aliyeteuliwa miezi michache iliyopita alamba zaidi ya millioni 100 na kujitetea kuwa milioni 60 ni malipo ya takrima ya bodi. Takrima hiyo ni ya kulipa fadhila za kumteua na kuchakachua matokeo ya usaili wa wakurugenzi wengine. Bibi huyo ameingia kwa fujo za tamaa ya pesa na kuomba kupatiwa asilimia 10 ya malipo anayopitisha kila siku.

Sasa hivi anahangaika namna ya kufuta madeni hayo ambayo yameingizwa kwenye kitabu cha wadaiwa sugu wa shirika. Deni hilo la zaidi ya milioni 100 linaleta tabu kuondolewa na hataki kueleza fedha hizo aligawana na watu gani.

Huu ni Ufisadi wa aina yake. Kwanza pesa za bodi zinatunzwa na mtunza fedha wa shirika na sio mkurugenzi wa utawala. Je sheria za fedha zinaruhusu mtu kubeba zaidi ya milioni 100 cash na kujaza kwenye pochi na kutokomea nazo kusikojulikana ? Kama zina uhalali kwa nini mtunza fedha asilipe? Na kwa nini majina ya waliogawana hizo pesa iwe siri? hakuna anayeweza kuhoji kwa vile analindwa sana na hawala yake na akisumbuliwa kidogo jioni anapeleka mashtaka kwa hawala yake ambaye yuko wizara ya nishati na madini. CAG/PCCB wanatakiwa kuchunguza ufisadi huu wa huyu mkurugenzi.

Kutokana na ufisadi wake ameamua kumnyamazisha mwenyekiti wa bodi kwa kumpatia posho nyingi hata wakati anapokwenda kijijini kwake kwenye mapumziko. Mwenyekiti huyo akienda kijijini kwake au safari zake binafsi nje ya mkoa anapatiwa posho ya kujikimu yeye pamoja na dereva. Akisafiri nje ya nchi analipwa posho yote ya safari, anapewa takrima maelfu ya dola na vilevile analipiwa hoteli yenye hadhi kubwa ya nyota 4 au 5 sasa posho nzima ya nini kama kila kitu kimelipiwa na takrima juu? Huu ni ufisadi wa aina nyingine. Yote hayo ni harakati za kumnyamazisha ili waendeleze njama zao. Mwezi uliopita alikabidhiwa V8 mpya na dereva wa kumuendesha masaa 24 hivi tujiulize huyu mwenyekiti ni mtumishi wa shirika au kazi yake ni kusimamia bodi? Iweje anunuliwe gari la kumuendesha masaa 24?

Haya ndiyo yale mambo aliyokataa Mh Mwigulu Nchemba wa ufujaji wa V8 na matumizi mabaya ya madaraka pamoja na rasilimali za umma. Huyo hawala wa mkubwa naye kakabidhiwa V8 mpya kabisa ya kumhudumia masaa 24 hii ni maalumu kwake tuu na inatembea zaidi ya km 110 kwa siku pamoja na kumpeleka kwa mzee jioni na baada ya hapo apelekwe kwake bunju.

Wakuu wengine kalagabaho yeye ni maalumu. Je wadau hii nchi tunaipeleka wapi kama sio matumizi mabaya ya madaraka?

Hoja yako brother haina mashiko kwa sababu umeongelea vitu vya story za kijiweni au chuki baada ya kutimuliwa kazi. weka fact ili kusupport hoja zako.
 
hizi habari zenu za kimbea mbea bila kuweka source of informations mtalifanya jukwaa lisionekane kama chumba cha Great Thinkers. hebu badilikeni jamani.

sio kila unapogombana na jamaa yako huko unakimbilia JF kupost ili kumkomesha, huo ni utumiaji mbaya wa BANDO ZETU kwenye simu tafadhali.
 
hapo ni kona ya kupiga tu.... mtu akienda hapo malaysia anapewa mil 15 wik moja duuh....acha wagawane tu buana
 
hizi habari zenu za kimbea mbea bila kuweka source of informations mtalifanya jukwaa lisionekane kama chumba cha Great Thinkers. hebu badilikeni jamani.

sio kila unapogombana na jamaa yako huko unakimbilia JF kupost ili kumkomesha, huo ni utumiaji mbaya wa BANDO ZETU kwenye simu tafadhali.

hizi habari zenu za kimbea mbea bila kuweka source of informations mtalifanya jukwaa lisionekane kama chumba cha Great Thinkers. hebu badilikeni jamani.

sio kila unapogombana na jamaa yako huko unakimbilia JF kupost ili kumkomesha, huo ni utumiaji mbaya wa BANDO ZETU kwenye simu tafadhali.

Tulia pimbi wewe lisemwalo lipo,kama halipo laja acha mtu atoe anachokijua.
 
Back
Top Bottom