Ufisadi Mpya walinyemelea Bunge

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kwenye Mtandao wa Mwananchi facebook wameripoti hela zinazotarajiwa kutumika kwenye ukarabati wa meza za bunge ilehali ni miezi ishirini tu imepita ilikarabatiwa. je ili nalo ni jipu au ni nini
 
Attachments

  • IMG-20160319-WA0041.jpg
    IMG-20160319-WA0041.jpg
    36.3 KB · Views: 49
Huwezi kuikwepa hiyo ikiwa mzee wa kutengeneza madeal ya wizi ndiyo Mwenyekiti wa Bunge.Na mwingine alikuwa Kwenye ile bosi iliyosababisha mabilioni kupoteza.

Pole Tanzania yangu.Pole Taifa langu.
 
Huwezi kuikwepa hiyo ikiwa mzee wa kutengeneza madeal ya wizi ndiyo Mwenyekiti wa Bunge.Na mwingine alikuwa Kwenye ile bosi iliyosababisha mabilioni kupoteza.

Pole Tanzania yangu.Pole Taifa langu.
Point Mkuu
 
Very sad! Changamota katika elimu na afya ni nyingi lakini bado tunashindwa kuprioritise!
 
Kwa sababu amwwatenga wapinzani alidhani shamba atalimaliza peke yake na wanaweza.Na hajui wanaweza ndiyo majambazi na Majangili labda amefinga macho
 
Yule Dr...Katibu amesha over stay. Anaweza kufikiria bungeni ni nyumbani kwake. Anastahili mabadiliko
 
Nilishangaa sana kuona eti ukarabati wa bu nge kwa ajili ya bunge la katiba ulikula bilion 8?kweli?wakati km 30 toka ulipo ukumbi wa bunge kuna shule moja ya msingi watoto wa walipa kodi zaidi ya 700 wanakaa chini,! Magufuli ni lazima atambue kwamba katibu wake wa bunge ni jipu
 
Hakuna msafi ccm
 
Back
Top Bottom