Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
1. Mwakyembe alisema bungeni hakuna Behewa bovu hata moja. leo hawa wanafikishwa mahakamani kwa mabehewa gani?
2. Nani Ana hakika kwamba mabovu ni 25tu Kati ya 275?
3. Nani Ana hakika kwamba hao waliokamatwa ndio peke Yao wahusika? SERIKALI imefanya madudu yenyewe, ikajichunguza yenyewe, na ikajishughulikia yenyewe kwa kuamua nani imtoe kafara au nani imlinde.
4. Hatua hii ni aibu kwa bunge, kwamba lilimfukuza mbunge kwamba kuongea uongo kabla ya kudai ripoti kujua ukweli ni nn?
5. sakata limetokea wakati mwakyembe ni waziri na akaunda kamati lakn bado JK akamwondoa na kumpeleka sitta ambae nae badala ya kutegemea kamati ya mwakyembe akaunda yake ilohusisha PCCB, CAG, AG &PPRA kwann? kwann alitolewa katikati ya sakata? kwann sitta hakuamini kamati ya mwakyembe?
6. kwann ripoti ya mabehewa inaendelea kufichwa? kwann Bunge halitaki ripoti hiyo ili lisimamie serikali? inatoa picha gani kwa bunge la 11?
7. MABEHEWA yalipokewa kwa mbwembwe na Mwakyembe wakati anamtambulisha Pinda. lkn kasoro za mabehewa zinatokana na mambo m akubwa kwamba zabuni yake haikuzingatia viwango, na kampuni ya Hindustan engineering haikufanyiwa uchunguzi kuhusu rekodi na uwezo wake, na zaidi malipo yalifanyika 100% kabla ya mabehewa Kuletwa. Je, makosa yote haya yanahusu mafundi na wakurugenzi tu?
Makosa ya mabehewa inatakiwa waziri wa uchukuzi, katibu mkuu uchukuzi na katibu mkuu fedha wote wafikishwe mahakamani. kwani mlipaji mkuu wa serikali ni katibu mkuu fedha kwann alilipa 100% kinyume cha sheria. kwann mwakyembe ariruhusu MABEHEWA yanunuliwe kabla ya kuona duedeligency report kuhusu kampuni inayopewa zabuni wakati yeye ni waziri na msomi wa sheria. katibu mkuu uchukuzi anawajibika kwa kosa hilo pia na kama mtendaji mkuu wa wizara husika
Jesca KISHOA (MB)