Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,563
WAKATI MWINGINE TUFIKE WAKATI HATAKAMA N HELA ZA WANANCHI MUWE NA UCHUNGU NAVYO
MWAKAJANA MWEZI WA TISA MADIWAN NA BAADHI YA WAH WA HALMASHAURI WALIKUJA WAKATENGENEZA HII NJIA KWA TRKTA ZAO WANAZIJUA WENYEWE ...WAKATI WA MATENGENEZO MVUA ZILIKUWA ZINAMWAGIKA WANAPAKI SEHEMU IKIKAUKA WANAENDELEA MBELE INGAWA HUKU NYUMA UNAKUTA NJIA IMEANZA TENGENEZA TENA Makorongo..
JUZI WAMEANZA TENA WANAKUJA NANMATRKTA YAO WANAANZA KUKWANGUA NJIA MBAYA WANAKWANGUA WANAACHA KAMA ILIVYO WANAAONDOKA
BAADA YA MDA WANARUDI TENA KAMA KUZI KE HIZI HELA ANALIPA NANI....MARA YA KWANZA WATU WA MATRKTA KUSAFISHA NA KUKWANGUA NJIA KAPANDE KADOGO WALILIPA MILLION 250,,,
LEO TUAMBIEN MMEANZA KUKWANGUA TENA NANI ANALIPA HIZI HELA.NA TULISHAURI KAMA MNAKWANGUA MUWEKE CHANGARAWE AMA UDONGO WOWOTE MVUA IKINYESHA ISILETE MADHARA ...
MWANZONI MMEKWANGUA MMEACHA KAMA ILIVYO JE TRIPU HII MNALETA UDONGO AMA.NDIO KUKWANGUA MNAVUTA MAMILION??