M MR NDEE Member Joined Aug 2, 2011 Posts 54 Reaction score 21 Oct 17, 2011 #1 CDM imegundua ufisadi mkubwa MOSHI,chai ya mkurugenzi mil 45,ku up grade web ya manispaa mil 170 kwli jamani wameshusha chai had mil 1 na kuapgrad nayo imeshushwa yalisemwa hayo jana katk kata ya Pasua mjini MOSHI, NOW BARABARA NA MAKALAVAT BYEEEE
CDM imegundua ufisadi mkubwa MOSHI,chai ya mkurugenzi mil 45,ku up grade web ya manispaa mil 170 kwli jamani wameshusha chai had mil 1 na kuapgrad nayo imeshushwa yalisemwa hayo jana katk kata ya Pasua mjini MOSHI, NOW BARABARA NA MAKALAVAT BYEEEE
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Oct 17, 2011 #2 kwa mtaji huu huyu mkurugenzi lazima aitete ccm hadi kifo -- yaani chai 45m.