Ufipa Wakosa cha kusema.

Amesema bado wale waliorudisha umri nyuma.
Hiyo inawezekana lkn haitawahusu wanasiasa km polisi, wanajeshi, wakuu wa wilaya na mkoa. Hiyo ni kwa watu wanyonge tu. Ila kuhusu ajira huyu mtu simuamin hata kidogo. Huyu si ndiyo aliyesema atasimamisha kwa mwez mmoja na nusu au miez 2?km ndiyo huyu tutangoja sana
AKAMUULIZE ZUMA
 
Most of them hawakua wafanyakazi bali raia wa kawaida walio jitokeza kushangaa matarumbeta na brass band. Acheni kujifariji.
 
Washahama kitambo sana kumsupport mjukuu wao. Sbb maovu ccm yamekithiri sana mpaka yanatia hasira.
Tupo chadema milele. Niliwaaambia A-Z kuhusu maovu ya chama cha majambazi
Yani unaandika kitu ambacho akili na roho yako vinapingana
 
Waliokosa cha kusema ni hawa Haters wanasema Chadema ni Chama cha Wachaga. Wakiaminisha watu Uchagani CCM haipo wala hawakupigiwa kura.
Wanasema kwa kuwa wanaona ni jambo la ajabu ukajitia upofu.
 
Stupidity based on CCM perverted pombe addiction
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…