Ufipa kuna tatizo

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
wakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.

Yule Mseminary wetu KATIBU MKUU nae kaanza kuisoma namba, watendaji wamemkaushia kwelikweli. The famous gang (LISU, MNYIKA, Wenje) wana mpuuza kwelikweli.

KWENYE VIJIWE VYETU huku ufipani wanamsema eti hana mvuto kwa wanachama, na hataweza kupambana kama wao walivyopambana kukiweka chama hapo kilipo ingawa walikuwa wanachama wa kawaida tu. Hawa jama hawamkubali kabisaaa

Wanamngoja kwa hamu atakavyofail ili wamsute mwenyekiti. Mwaka huu tutayaona mengi, Ngoja amalize mafunzo tuone .
 
Mtangoja sana
 
Nahisi na vyombo vya habari havimpatii promo, Hivi hata kwenye msiba wa Lissu Karimjee hakuwapo kweli? Enzi za Dr. Lazima angetoka hats akisaini kitabu cha maombolezo, leo tunaona picha za akina Lwakatare?
 
Naona huyu naye ni Mwiba kwa Chama Cha Majambazi...................
 
Nahisi na vyombo vya habari havimpatii promo, Hivi hata kwenye msiba wa Lissu Karimjee hakuwapo kweli? Enzi za Dr. Lazima angetoka hats akisaini kitabu cha maombolezo, leo tunaona picha za akina Lwakatare?
54ebbe9a03518f388334df687fb9a0ac.jpg
waliokuwepo hawa hapa wanachat
 
Sio kuchat ni kutongozana.Watakuwa kila mmoja anamrushia messeji msigwa because he is the only man there na yeye anawajibu kwa meseji moja tu I love you KILA MOJA ANAJIONA KAMA Kaandikiwa peke yake kumbe wala
 
Tulio timamu tulijua tu kuwa kuondoka kwa Slaa na mitusi aliyokuwa akitukanwa mitandaoni, tukajua kuwa mwisho wa chadema umefikia
 
Sasa hivyo vijiwe vyenu mfundishane mbinu za kutafuta hela sio umbea hata dada zenu wanawashinda siku hizi
 
Nilimpenda huyu Katibu Mkuu mPya Dr vicent alisema anakuwasumbua kimkakati zaidi !!
Na kwa bsasa kinachotajika ni program so MANENO
 
Great threat ktk siasa za upinzani aliebaki ni act wazalendo na wao wako wanan'ginia hawajui pakuanzia,siasa za chadema na mchina wao wanapaka rangi upepo
 
Nilimpenda huyu Katibu Mkuu mPya Dr vicent alisema anakuwasumbua kimkakati zaidi !!
Na kwa bsasa kinachotajika ni program so MANENO
Kijana jifunze kuandika,unachanganya herufi kubwa na ndogo..maneno mengine hayaeleweki....Mashinji amesema..."uropokaji chadema mwisho"...na "siasa za kiharakati na matusi basi"...,Pia kumejitokeza kashfa za rushwa dhidi ya Mwalim na wakuu wa idara kula M.10 kuwapa watu ubunge,Sugu kalalamika na mbunge wa Masasi Cecil kalalamika....kuwa uongozi wa chadema unanuka rushwa...unzungumziaje hayo?
 
wakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.

Yule Mseminary wetu KATIBU MKUU nae kaanza kuisoma namba, watendaji wamemkaushia kwelikweli. The famous gang (LISU, MNYIKA, Wenje) wana mpuuza kwelikweli.

KWENYE VIJIWE VYETU huku ufipani wanamsema eti hana mvuto kwa wanachama, na hataweza kupambana kama wao walivyopambana kukiweka chama hapo kilipo ingawa walikuwa wanachama wa kawaida tu. Hawa jama hawamkubali kabisaaa

Wanamngoja kwa hamu atakavyofail ili wamsute mwenyekiti. Mwaka huu tutayaona mengi, Ngoja amalize mafunzo tuone .
Acha kuota mkuuu. Nnahis hii ni ndoto ya mchana utangoja sana .
 
Back
Top Bottom