Hivi ni kitu gani cha ajabu hapo aisee.
Mbona ni kitu kinawezekana kabisa, maswali yenyewe ni yaleyale tu.
Nakumbuka **** level fulani nilianza kusoma two weeks before exams, ila ajabu maswali niliyoyakuta ni yale niliyohisi yatatoka na nikapasua fresh kabisa.
Sembuse hao wanaofanya hayo maswali almost 2 yrs before exams, acheni kujidharau namna hiyo.
Ina maana mleta uzi, ukiletewa maswali uliyoyafanyia kazi mwaka mzima bado hutusui....??