Kuna vijana wamenifuata mmoja. ana one point 9 mwingine two ya point 10 wamekosa vyuo mweee nikiangalia vyuo vilivyopo kwasasa mpaka nashindwa namna ya kuwasaidia nikilinganisha na uwezo wa kiuchumi walonao nikilinganisha na ada za hiv vyuo vilivyobaki duh hatar sana
HAPA VIJANA MTAISOMA NAMBA KAMA KAULI MBIU YETU ILIVYOJIELEZA HAPO AWALI
mwenyezi mungu awatangulie vijana wote mlofaulu vzur bt TCU hawajazithamini jitihada zenu