Ufaulu wa CE

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
269
Reaction score
94
Naomba kuuliza wakuu kama kuna mtu anaufauru wa CE matokeo ya 2016 kapata chuo
 
Hebu tulia uelezee vyema tupate kukuelewa ili tukusaidie.....acha kukurupuka mkuu!!!
 
Je hivi vyuo vina competition wakuu st.john dodoma,Kampala,teofilo kisanji mbeya,,st.john dar,eckenforde tanga
 
We ndo umekurupuka thats why hujanielewa wenzio wote wamenielewa
 
ipo haja vyuo vya private navo viunde tume yakudahili maana kwa haya madudu wanayofanya tcu siyo fair kabisa hao wanafunzi 8000 inamaana pesa yao imeliwa ..........
 
ishayoyoma hiyo
 
Je hivi vyuo vina competition wakuu st.john dodoma,Kampala,teofilo kisanji mbeya,,st.john dar,eckenforde tanga
Kampala hakina competition, ni point zako 4 na pochi ya kueleweka tu! Kwa kozi za afya ni 4.5 na pochi yako tu! Halafu nafasi zao za second round ni nyingi kuliko za first round!
 
ipo haja vyuo vya private navo viunde tume yakudahili maana kwa haya madudu wanayofanya tcu siyo fair kabisa hao wanafunzi 8000 inamaana pesa yao imeliwa ..........
Hii ni dalili ya watu kutozingatia vigezo vilivyowekwa. Unaishia kupoteza 50000/= na huenda nafasi ya kuomba program uliostahili. Ni dhahiri hii CAS haijaribiwi.
 
Je wakuu ni vyuo gani kwa second round ambavyo havina ushindani kwa bachelor of arts with education
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…