Ndio elimu ya Bongo hio mkuu unga unga pata connection endelea na maisha mengine nani atajua una D 4 na F 3 ukienda NTA level mpaka 6 unapiga GPA 4.5 ya mchongo nani ataangalia cheti cha form 4Kweli mkuu yani ni upumbavu ulioje mtu anapata div four kisa ana vi D vinne anaenda kusoma clinical medicine au engineering...
Unakuta mgonjwa alifaulu vizuri biology kuliko daktari..
Kikawaida mtu akipata D uwezo wake kwenye somo husika ni mdogo kuliko kawaida mwenye D na F hawana utofaut
Nimefatilia kuwa kuna Form 2 zaidi ya 370,000 wamepata Division 4 ila wanasonga mbeleKidato gani unazungumzia? maana form four div 4 huendelei mbele labda vyuo vya kati, lkn form two ukiwa na D mbili umepita au C moja unaenda form three
Maana lengo lisiwe wanafunzi wengi kufanya mitihani.Warudie mitihani.
Hilo ni wazo zuri sanaaaaaaaaaaaa
Hakuna kwenda chuo na division 4
Afu tutegemee miujiza huko mbeleni.Unambiwa mtoto akipata C moja ya kiswahili mengine yote F ,anasonga kidato Cha tatu "hatuachi mtu nyuma"
Tusiangalie tulipotoka,Dr.Harison, Prof. Paramagamba, Mh. Mbowe, Dr. Hangaya, na wengine wengi...walipata Division ngapi...?
Kama ni 3, 2 au 1 mbona hawana.......View attachment 2471377
ukipima reasoning kwa kuangalia form four ulipata nini utakuwa una fail pakubwa mnoo, kuna watu mtaani wana reasoning capacity na general knowledge kubwa mno na hawajafika hata university. Reasoning haipimwi kwa kuzingatia uwezo wa kukariri. Mfano mzuri ni wenzenu wa Law school, au umesahau kilichowakuta?Kama ulipata division four form four basi wewe ni mjinga tu.
Kilichokubeba chuo ni assignment tu na kumuotea lecturer tu.
Wengi kwenye reasoning hamna kitu.
Hahahaha mbona umepanic mkuu. No hard feeling haya ni mawazo tu. Inaonekana umetukana sana huko uliko. Namimi nasemaje kama umetukana nawewe hivyohivyo mara 10 yako.Wajinga kama nyie lazima muwe na mawazo sawa nchi hii tuta import hadi nyanya siku za usoni kwa akili kama hizi,
Mnaabudu Div?
Nitajie nchi iliyoendelea duniani isiyo na mitihani. Ambayo mtu yeyote tu anaweza soma akawa astronaut au akawa neurosurgeon. Ambayo ukimtaka aeronautical engineer unafyatua kilaza yeyote unafundisha anaelewa.Walio fanya vizuri aje? Kukariri? Then baada ya hapo watuundie Ndege? Kukariri types of Rock, Coffee Farming in Brazili na kujua tarehe Vita kuu ya kwanza ya Dunia ilianza hizo sio akili ni mambo ya kukariri, Dunia isha hama huko kutambo sana Wakenya hawakuw wajinga kupiga stop mitihani ya Taifa, Bongo bado mnaabudu Div
Hyo form two mambo ya division ni upuuzi tuu watumie wastani kama miaka ya nyuma, mtoto akishindwa kufikisha wastani wa 50 arudie darasa akifeli mara ya pili aende veta tuu sio lazma wote wasome elimu ya sekondariAfu tutegemee miujiza huko mbeleni.
Ukiona wanafunzi wengi wanafeli Form 2 maana yake wengi hawakupaswa ingia Form 1, wameingizwa kisiasa. Haiwezekani watu 370,000 wapate Division 4 afu muwaruhusu kuendelea na masomo
Tatizo la Tanzania ni siasa hadi kwenye vitu vya msingi.Nitajie nchi iliyoendelea duniani isiyo na mitihani. Ambayo mtu yeyote tu anaweza soma akawa astronaut au akawa neurosurgeon. Ambayo ukimtaka aeronautical engineer unafyatua kilaza yeyote unafundisha anaelewa.
Tatizo la Tanzania ni siasa hadi kwenye vitu vya msingi.
Matatizo ya Tanzania yamesababishwa na Elimu yetu.
Matatizo hayatakwisha sababu hatutabalisha mfumo na muelekeo wa elimu yetu.
Kwa sasa kila anayeingia lengo lake ni watu wengi kujiunga na shule. Hawajali wanajifunza nini huko shuleni
Kenya wameacha mitihani ya kitaifa? Na hii KCSE na hawa best students wa mwaka jana ni ya wapi?Walio fanya vizuri aje? Kukariri? Then baada ya hapo watuundie Ndege? Kukariri types of Rock, Coffee Farming in Brazili na kujua tarehe Vita kuu ya kwanza ya Dunia ilianza hizo sio akili ni mambo ya kukariri, Dunia isha hama huko kutambo sana Wakenya hawakuw wajinga kupiga stop mitihani ya Taifa, Bongo bado mnaabudu Div
Kipimo cha uwelewa ni mtiani basi,kama mitiani inapima ukariri basi akili iyo wanayoAlie kuambia ukifaulu ndio una akili ni nani? Hao walio faulu wana uwezo wa kukariri, hivi mtoto anaweza choea ramanaya Tanzania bila kukariri?
Tanzania Police Force watakosa watu wa kuwa ajiri mkuu,refer comment ya Waziri Simbachawene wakati flani katika mchakato wa ku wa ajiri...Serikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Mkuu hilo daraja la nne ndiyo ufaulu wa vigogo waliokuwa wengi pamoja na watoto wao. Sidhani kama ushauri wako wataukubali.Serikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
cliniccal medicine au engineering courses usipo soma utafeli tuKweli mkuu yani ni upumbavu ulioje mtu anapata div four kisa ana vi D vinne anaenda kusoma clinical medicine au engineering...
Unakuta mgonjwa alifaulu vizuri biology kuliko daktari..
Kikawaida mtu akipata D uwezo wake kwenye somo husika ni mdogo kuliko kawaida mwenye D na F hawana utofaut
JF ndo ivo,nyuma ya keyboard watu wajanja sana kam kwel mtu anajua mambo aingie venue utakapo jua hujuiComments za wengi humu mnaonekana mlipata Division ONE humu na watoto wenu watakuwa na ONE Kali sana