Hio 1 ina wajanja wapi? Hivi kuweza kukariri na kuchoea ramani ya Tanzania au kukariri kilimo cha Kahawa kule Brazili hio ni akili?Hata Div 3 bado kuna wajinga wengi hupenya. Mwisho Iwe Div 2.
Hao wa Div wanaweza kuwa akili yao ni ya kufanya mambo yao wenyewe na hairuhu kukariti viti vya watu wengine, hao wa Div 1 maana yake wana kiwango cha juu cha kukariri sio kuelewa kukaririWarudie mitihani.
Hilo ni wazo zuri sanaaaaaaaaaaaa
Hakuna kwenda chuo na division 4
Kwa hio kwa akili zako elimu ya nchi hii ingekuwa na maana kama wote wangepata Div 1?Elimu ya Inchi hii ni kitukoo..
[emoji23][emoji1787][emoji24]
Alie kuambia ukifaulu ndio una akili ni nani? Hao walio faulu wana uwezo wa kukariri, hivi mtoto anaweza choea ramanaya Tanzania bila kukariri?Yani vijana wanashindwa hata kufauli nusu ya masomo wanayosoma ni hatari sana na wanasonga mbele tuh
Hata division 1 kuna wajinga wengi pia...Hata Div 3 bado kuna wajinga wengi hupenya. Mwisho Iwe Div 2.
Wajinga kama nyie lazima muwe na mawazo sawa nchi hii tuta import hadi nyanya siku za usoni kwa akili kama hizi,Naunga mkono hoja.
Mtoa mada bila shaka anawaonea wivu wenye four kupewa kipaumbele ajira za upolisi.Fafanua kisomi maana sijakuelewa. Kwamba Div 4 hana uwezo kabla na baada ya kumaliza masomo yake ya juu au una jambo lingine limekutuma kihisia. Ukitumia mifano iliyo hai kama shuhuda itafaa kulinda hoja yako.
Kwani naamini ukipeleka hoja yako mbele ya taasisi za kusimamia mifumo ya elimu kama TCU, NECTA, NACTE, n.k.... hawataweza kukusikiliza na kama ni mhitimu wa ngazi ya chuo huenda unaweza kunyang'anywa uthibitisho wa elimu yako.
Kwako mtoa mada tafadhali, Tulia eleza kipi kimekupata.
Anaweza pata hata Zero na still akaja kuwa mtalamu mzuru sana wacheni kukariri hizi Div zinalatikana kwa njia nyingi sana tulio wahi kufanya hata Tempo za Uwalimu tunajua sanaaa kwenye mitihani, katika maisha yangu siabudu kitu kinaitwa Div kwamba alie pata 1 ni ana akili hakuba kitu kama hicho.Kweli mkuu yani ni upumbavu ulioje mtu anapata div four kisa ana vi D vinne anaenda kusoma clinical medicine au engineering...
Unakuta mgonjwa alifaulu vizuri biology kuliko daktari..
Kikawaida mtu akipata D uwezo wake kwenye somo husika ni mdogo kuliko kawaida mwenye D na F hawana utofaut
Walio fanya vizuri aje? Kukariri? Then baada ya hapo watuundie Ndege? Kukariri types of Rock, Coffee Farming in Brazili na kujua tarehe Vita kuu ya kwanza ya Dunia ilianza hizo sio akili ni mambo ya kukariri, Dunia isha hama huko kutambo sana Wakenya hawakuw wajinga kupiga stop mitihani ya Taifa, Bongo bado mnaabudu DivElimu ya lazima iwe mpana kidato cha nne. Uko form 2 mwanafunzi arudie mpaka afike form four. Kisha baada ya hapo kuwe na mchuzo mzuri waende vyuoni na Advanced level wale tu ambao wamefanya vizuri. Kujazana wanafunzi vyuoni wakiwa na D zao hizo mara nyingi ni hasara.
haha mimi inabidi nicheke nilipata four ya point 28, miaka hiyo lkn baada ya muda na handle pergomance evaluation za wale waliomaliza four na one point 7 na six ya point 3. Wote nawakarisha nakuambia hapa umezingiwa, lakini perfomance evaluation ni mbali sana chuo nako walisubiri wengi wenye one ya point 3. Kuwaita division ni wajinga nadhani mtoa mada ajitafakari sana.Fafanua kisomi maana sijakuelewa. Kwamba Div 4 hana uwezo kabla na baada ya kumaliza masomo yake ya juu au una jambo lingine limekutuma kihisia. Ukitumia mifano iliyo hai kama shuhuda itafaa kulinda hoja yako.
Kwani naamini ukipeleka hoja yako mbele ya taasisi za kusimamia mifumo ya elimu kama TCU, NECTA, NACTE, n.k.... hawataweza kukusikiliza na kama ni mhitimu wa ngazi ya chuo huenda unaweza kunyang'anywa uthibitisho wa elimu yako.
Kwako mtoa mada tafadhali, Tulia eleza kipi kimekupata.
hawana lolote hawa, mimi nilipata 4 ya 28 nikaunga unga chuoni nikakutana na wenye 1 ya point 3 lakini hawakuwa na maajabu, kazini leo nawafanyia perfomance evaluation. mtoa mada arudi kufanya uchunguzi wake na atuambie endapo alisoma na watu wa diploma je aliwazidi wote?Hao wa Div 1 ukiondoa hizo A zao kuna kitu cha ziada walicho nacho? Mfano unaweza mchukua mwanafunzi kapara Div 1 umuweke mtaani asurvive? Mdio mnajidanganya kwamba ukipata Div 1 basi una akili ya kuubda hata chombo cha kwenda mwezini
Kama ulipata division four form four basi wewe ni mjinga tu.haha mimi inabidi nicheke nilipata four ya point 28, miaka hiyo lkn baada ya muda na handle pergomance evaluation za wale waliomaliza four na one point 7 na six ya point 3. Wote nawakarisha nakuambia hapa umezingiwa, lakini perfomance evaluation ni mbali sana chuo nako walisubiri wengi wenye one ya point 3. Kuwaita division ni wajinga nadhani mtoa mada ajitafakari sana.
hawana lolote hawa, mimi nilipata 4 ya 28 nikaunga unga chuoni nikakutana na wenye 1 ya point 3 lakini hawakuwa na maajabu, kazini leo nawafanyia perfomance evaluation. mtoa mada arudi kufanya uchunguzi wake na atuambie endapo alisoma na watu wa diploma je aliwazidi wote?
Ili ukasome diploma ya clinical medicine au bachelor ya MD unatakiwa uwe na pass ya masomo yap? Kwann HKL,HGE and the like of hawawez kusoma udaktar ama afya??Sasa biology ndo udaktari...
Una kichwa Empty sana...
Anayehudumia mgonjwa ni Nurse co au lab na ana leseni ya kumhudumia mtu....
Ndo maana saiv tuna wasomi wengi vichwan empty coz tumeamua kila mtu awe na degreeElimu ya lazima iwe mpana kidato cha nne. Uko form 2 mwanafunzi arudie mpaka afike form four. Kisha baada ya hapo kuwe na mchuzo mzuri waende vyuoni na Advanced level wale tu ambao wamefanya vizuri. Kujazana wanafunzi vyuoni wakiwa na D zao hizo mara nyingi ni hasara.
Ulipata div ngp mkuu???Hao wa Div 1 ukiondoa hizo A zao kuna kitu cha ziada walicho nacho? Mfano unaweza mchukua mwanafunzi kapara Div 1 umuweke mtaani asurvive? Mdio mnajidanganya kwamba ukipata Div 1 basi una akili ya kuubda hata chombo cha kwenda mwezini
Unashauri kipi kitumike kumpima mwananafunz uelewa wa alichofundishwa mbali na mtihani??Shule nyingi zisha jua kwamba Watanzania wanaabudu Div Ndio maana unakuta mwaka mzim shule inakomaa na watoto kuwa karirishwa Past paper tu ili wapate Div 1.yaani Janury hadi October watoto ni mwendo wa Past Paper.
Watoto wanatoka na 1 ila ni full wajinga hawawezi appy 1 zao hizo mtaani, Kenya kuona ujinga kama huo wameamua kufuta mitihani ya Taifa na kubakiza mitihani ya ngazi ya shule pekee
Hapa wasipoendelea na masomo kabisa ndo ule usemi wa elimu aina mwisho utakua umevunjuka kwaaahSerikali itoe agizo kuwa wenye Divion 4 wasiruhusiwe kuendelea na elimu katika mfumo rasmi, warudie mitihani au wasiendelee na masomo kabisa
Hakuna sekta inabeba watu vilaza kama hiyo ya afya.Kweli mkuu yani ni upumbavu ulioje mtu anapata div four kisa ana vi D vinne anaenda kusoma clinical medicine au engineering...
Unakuta mgonjwa alifaulu vizuri biology kuliko daktari..
Kikawaida mtu akipata D uwezo wake kwenye somo husika ni mdogo kuliko kawaida mwenye D na F hawana utofaut